Ontario licha ya kupiga watu hela ndefu kashindwa kunawiri kama mwenzake wa South Africa Sandile Shize

Daah mwamba tumuombee aisee.View attachment 2684143
Watetezi wa Ontario nendeni sasa mkamsaidie mwenzenu, amepata ugonjwa wa hatari wa Akili, hali ni tete huko. Sijui madeni yamemzidi, pesa za ujanja ujanja hazipo tena au laana ta kuwatapeli watu.

Lakini kwa jinsi ninavyomjua huyu dogo, huenda hiyo ni gear ya kuvuta attention ili kutafuta namna ya kutapeli watu wengine, kuna mahali anapasomea ramani. Nabashiri tu, muda sio mrefu mtamsikia Ontario akijitangaza ni Nabii ili kuvuna pesa za waumini wanaopenda utajiri, maajabu na miujiza.

Nipo palee!
 
Kwa wale wageni wa JF na wale watetezi nguli wa Ontario, mnapaswa kujua haya kuhusu Utapeli wa Ontario.
1. Aliwaaminisha watu humu uongo mwingi kuhusu kutajirika kupitia Forex.
2. Aliwatumia watu humu kama fursa rahisi ya yeye kutajirika huku akiwaaminisha kuwa anataka kuwasaidia kupitia Forex.
3. Aliwapotosha watu kimakusudi waliwe pesa zao kupitia Forex ili yeye apate pesa.
4. Aliwaunganisha watu humu na matapeli wa Forex ili avune pesa.
 
Simply a KARMA
 
Umesahau ule uzi wake wa matrekta
Kapiga kamba nyingi sana mle

Akavuta wajinga wajinga wengi
 
Umesahau ule uzi wake wa matrekta
Kapiga kamba nyingi sana mle

Akavuta wajinga wajinga wengi
Nilianza kumsoma kwenye uzi ule wa matrekta ya kukodi na kulima. Alini motivate sana, ingawa ukisoma katikati ya mistari thread ile ilikuwa na chumvi kibao. Ila namkubali kwa hustle zake by the way. Get rich or die tryin'
 
Mimi najua forex kuliko wewe bado mdogo usiseme IB ya ku-iintroduce broker elewa hata spreads hujui naona😅😅

Watu sio kupata commision alikuwa anashirikia na broker ambaye hajasaliwa kuunguza account yeye ndo mtoa signals.

Ndo maana nikakwambia hujui kitu ..Hii alisema baada ya kugombana na kigogo kule twitter mwenyewe wewe sijui kama ulikuwa unajua hata maana ya forex.

Unajua hata criterias za kuchagua broker?
Achane naye huyu dogo hajui kua forex imejaa matapeli. Ipo kampuni ulaya walilipia matangazo kwenye premier league lakini walikuja nao kujulikana nii matapeli wa Romania.
 
Hao jamaa wote ta wale top wana kesi za utapeli ..Ila kuna watu hawajui.
 
Back
Top Bottom