Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Watetezi wa Ontario nendeni sasa mkamsaidie mwenzenu, amepata ugonjwa wa hatari wa Akili, hali ni tete huko. Sijui madeni yamemzidi, pesa za ujanja ujanja hazipo tena au laana ta kuwatapeli watu.Daah mwamba tumuombee aisee.View attachment 2684143
Lakini kwa jinsi ninavyomjua huyu dogo, huenda hiyo ni gear ya kuvuta attention ili kutafuta namna ya kutapeli watu wengine, kuna mahali anapasomea ramani. Nabashiri tu, muda sio mrefu mtamsikia Ontario akijitangaza ni Nabii ili kuvuna pesa za waumini wanaopenda utajiri, maajabu na miujiza.
Nipo palee!