Hahaha usikute Barrick ndio walipeleka kesi huko kwao, sisi wananchi huko canada hatufahamu hata mahakama iko mtaa gani, Waongo hawa.Mlitegemea a Canadian court iende kinyume na interests za a Canadian company kweli?
Kwa kikubwa kipi? Haki za Waafrika ambazo hata serikali yao wenyewe haizijali?
Bibi alisomea??Nenda kasomee ww madarasa yako wazi
Wabaguzi sana hawa.Kesi ya nyani kapelekewa ngedere
ni kampuni ya kiyahudi, huwashindi huko North AmericaWabaguzi sana hawa
Hakuna kesi tunashinda kwao, na tukishitaki pia hawataki tuwashitaki kwao.
Mawakili wa hao Watanzania 21 walikuwa ni akina nani? siyo umpeleke Kibatala eti akashinde kesi CanadaKatika muendelezo wa kuzinyanyasa nchi za Afrika kupitia mahakama zao za kibeberu.
Mahakama nchini Canada imeyakataa madai ya watanzania 21 dhidi ya kampuni ya madini ya Barrik kutokana na vitendo vya mauaji ambavyo watanzania hao wamedai vikihusishwa na kampuni hiyo.
Mahakama hiyo imeyakataa madai hayo kwa kudai kuwa haina mamlaka ya kusikiliza madai ya aina hiyo.
Hili ni jambo la kusikitisha mno kwani imekuwa ni kawaida kwa mahakama za nchini Canada kutoa hukumu dhidi ya nchi yetu kwa madai ya aina yeyote ile yatayofunguliwa.
Wanasheria wetu huwa ni wa humuhumu tu, wakienda hata Kenya hawashindi kesiHatuna wanasheria nchini. Haiwezekani kila kesi ya kimataifa, nchi inaangukia pua.