Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Uyu jamaa mchafu anapemda mijasho yekilamara kutaja mijasho tu sijui mijasho ndo kupata pesa acha uchafu usitutajie tena mijasho yako
 
Mkuu samahani sina nia kukudhalilisha lakini naomba kuuliza swali.

Kwa uandishi wako kama huu nawewe pia umelielewa somo la Forex trading vizuri na unapiga pesa za kutosha?

Aisee kumbe hii biashara ni rahisi mno kupiga pesa!!
lala mbele uko
 
Ole wako uonyeshe magitaa ya kwaya kama asset zako utatukoma wenye hasira kali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakugawa bureeeeeeeeee napasuka mbavu et magitaa
 
Kigoma kambini[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena manyovu sijui[emoji23]
 
Kusema ukweli Ontario ni smart sana up stairs. Huyu jamaa ana akili za kuzaliwa na anajua kuwashawishi watu. By the way kama mtu hakuibii pesa zako, ni wewe mwenyewe unaamua kuingia kwenye biashara husika kwa hiari yako mwenyewe, sioni kama ni vibaya kwa yeye kuwashawishi watu wawekeze kwenye cryptocurrency.
 
kama kwa siku unapata 290,000 kutoka forex so kwa mwezi utakuwa na 8,700,000 ambayo ni mara 16 ya take home ambayo unalipwa na serikali Je umisha acha hiyo kazi ya take home 560K???
Swali la msingi
 
Forex siokila mtu unaweza fanya kwanza ujue kiingereza pia uwe na basic ya computer na ujue graph kidogo
Sasa kama sio kila MTU anaweza kufanya.mbona jamaa anawagonga watu 130 zao.anajuaje kama wanajua kufanya forex au la??
Au ukitoa hela ndo utajua.
Ila ukifundishwa bure hauta jua forex
 
Una mama? Mbaya zaidi ww ni wa kike.... Too Sad!!!!!
 
Habari wadau..
Najua soko la ajira linasumbua sana..

Nikajikaza na kupambana sana baada ya shule na kufanikiwa kufungua biashara ndogo ndogo. Ninamiliki workshop ya kuprint tshirts, studio ya kupiga picha za kisasa na sehemu ya kuoneshea mpira. Sasa kitu kinachonichoshaga kuona graduates wenzangu umri sawa, wanatoka familia zina uwezo zaidi yangu naekomaa mwenyewe ila wanakuja kwangu na kuniomba kazi katika ofisi yangu.

Nikiwashauri waanzishe na wao ili wakomae hawataki na wengine wanalazimisha waongeze hela kwenye ofisi yangu ili tuwe partners.

Mimi najijua sio muumini wa partnership sababu nawekeza akili na nguvu nyingi na nahisi sihitaji partner wa mtaji pekee bali mtaji na ujuzi ambao na mimi sina ili tutoe huduma bora na bora na iwe win win.

Hii imenifanya nigundue mtaji sio tatizo kwa vijana wengi bali ni uthubutu.

Naombeni watanzania wote tujifunze uthubutu tusipende kupata short cut

Nasikitika sana graduates tena wanaotoka kwenye familia zenye uwezo wananiomba kazi (mitaji wanaichezea tu)

wewe ni mtu wa sifa hata kwenye hiyo thread yako kila mtu anakusema jaribu kubadilika

hivyo unavyomiliki vinakupa kiburi sana, sasa sikia napiga FOREX siwezi kuacha forex nisubiri laki 1 ya mechi ya man u na man city,
 
weka picha zangu za huko makere.. nikupe laki 5 ya jasho.. uache tegemea hela za bure kama shoga...
Wewe mjinga hiyo laki 5 pelekea ndugu zako wanaokula vumbi huko kwenu lofa wewe ....



Unaona laki tano hela mpuuzi hela , unakaa mbele ya wanaume unajitapa laki 5 ????? Ngedere wewe
 
Watu wenye chuki kama mleta mada huwa hawaendelei hata siku moja.
 
hata 30 sijavuka ila naishi same life na wenye 40s tena waliofanikiwa... na nikifika 40 kwa hii spidi ya kuchukia vya bure.. napenda kusaka kwa jasho nahisi nitaajiri watanzania kibao.. kama under 30 nimetoa ajira..
Unaishi "thug life" na kunyonya vibarua wako unasema umeajiri , hivi unajua maana ya kuajiri???? Hao vibarua yako najua hujawapa bima ya afya, hupeleki makato yao kwenye mifuko ya kijamii na wcf n.k Halafu unakuja hapa kuongea upuuzi eti "Nimeajiri"



Rudi shule uelewe maana ya kuajiri,
 
Eti ninadrive , unamiliki KiBaby walker unakuja kujitapa unadrive....
 
You're Such A wasted Sperms
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…