October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Hihi hihi hiiiiiiiiii hooohooooHuyo tapeli tu Mkuu anaelekea uzee hana hata kibanda kila siku kumchukia Ontario Mwenye umri wa miaka 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hihi hihi hiiiiiiiiii hooohooooHuyo tapeli tu Mkuu anaelekea uzee hana hata kibanda kila siku kumchukia Ontario Mwenye umri wa miaka 24
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ole wako uonyeshe magitaa ya kwaya kama asset zako utatukoma wenye hasira kali
Uyu jamaa mchafu anapemda mijasho yekilamara kutaja mijasho tu sijui mijasho ndo kupata pesa acha uchafu usitutajie tena mijasho yakomimi nipo ofisini sasa hivi nafanya kazi zangu...
msukule wewe eti usd 3000.. weka jina lako tuku trace au hata link ya unachomiliki tukutrace...
hiyo usd 3000 ambayo wewe umeitaja kwa ndoto mimi nimetumia kununua vifaa vya studio juzi tu...
najua wewe hata usd 3000 huijui zaidi ya kuitamka.. na ukiishika hadi ukope kwa mwajiri.. wahuni tunaitengeneza hiyo kwa jasho hiyo mitaani..
haya link ya biashara ya pili hiyo
Photo_ studio_mabibo_hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
mpaka sasa hivi naongoza 2-0 nimeweka link ya biashara 2 na bado naendelea kuweka,...
wewe weka hata moja basi kama kweli unajua kusaka mahela... usijitongozeshe tu
hela za jasho ziko mitaani... acheni uvivu.. usd 3000 ni hela ya camera canon 5d mark 4 tu bila lenzi.. ila wewe unaiona nyingi eti
si ajabu hata tshirts unazovaa huko ulipoajiriwa zimetengenezwa ofisini kwangu.. wakati wewe unaomba kazi upate mshahara wahuni wa kitaa wazee wa kula kwa jasho tunaomba tenda ....
mpaka mda huu tuko ofisini hatujarudi hata nyumbani.. mzembe unategemea ku download hela...
biashara ndogo tu zimekuchachafya je ningeweka za clearing si ungeloa chini huko
acheni uzembe hakuna hela nyepesi duniani... hakuna shortcut kwenye hela.. na mkipenda shortcut mtaliwa tigo hizo
lala mbele ukoMkuu samahani sina nia kukudhalilisha lakini naomba kuuliza swali.
Kwa uandishi wako kama huu nawewe pia umelielewa somo la Forex trading vizuri na unapiga pesa za kutosha?
Aisee kumbe hii biashara ni rahisi mno kupiga pesa!!
Uyu jamaa mchafu anapemda mijasho yekilamara kutaja mijasho tu sijui mijasho ndo kupata pesa acha uchafu usitutajie tena mijasho yako
Ole wako uonyeshe magitaa ya kwaya kama asset zako utatukoma wenye hasira kali
Kigoma kambini[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena manyovu sijui[emoji23]katika maisha yangu hata ubalozi wa marekani nimeshawai fanya kazi ambako kwako wewe hata kuingia ndani ya geti tu ni ndoto kubwa .. naanzia wapi kuajiriwa kigoma kambini... ha ha ha mtakufa na ujinga wenu mabwege nyinyi... mchangieni bwana wenu ada za forex akalimie.. hivi unamiliki biashara 5 dar ambayo inakulazimu daily uikague halafu unafanya kazi kigoma kambini inawezekana kweli?
Mwanaume mzima eti umekalisha makalio yako ati unasema unadownload hela hiyo akili matope? Forex ni wizi kama wizi mwingine tu.
wanaume wakutafutie hela kwa jasho wewe uzidownload tu .. haya mambo ya kupenda vya bure ndio mnakuwa mashoga nyinyi
Swali la msingikama kwa siku unapata 290,000 kutoka forex so kwa mwezi utakuwa na 8,700,000 ambayo ni mara 16 ya take home ambayo unalipwa na serikali Je umisha acha hiyo kazi ya take home 560K???
Asulubiweeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kama sio kila MTU anaweza kufanya.mbona jamaa anawagonga watu 130 zao.anajuaje kama wanajua kufanya forex au la??Forex siokila mtu unaweza fanya kwanza ujue kiingereza pia uwe na basic ya computer na ujue graph kidogo
Una mama? Mbaya zaidi ww ni wa kike.... Too Sad!!!!!Sikulaumu kwakweli ila tutamlaumu mama ako kupewa mimba kinguvu kule guest na Mafundi ujenzi na ukalelewa na bibi yako ndio maana una kichwa ka sufuria ya msibani ubongo kama kibamia cha lemutuz ndio mana una akili za hiv pole sana endelea kuprint tishet baba angu wakat wengine wanafanya bizness kimataifa we endelea kufanya bizness mabibo pale kwa wanachuo ambao hawazid elf 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mjinga hiyo laki 5 pelekea ndugu zako wanaokula vumbi huko kwenu lofa wewe ....weka picha zangu za huko makere.. nikupe laki 5 ya jasho.. uache tegemea hela za bure kama shoga...
Unaishi "thug life" na kunyonya vibarua wako unasema umeajiri , hivi unajua maana ya kuajiri???? Hao vibarua yako najua hujawapa bima ya afya, hupeleki makato yao kwenye mifuko ya kijamii na wcf n.k Halafu unakuja hapa kuongea upuuzi eti "Nimeajiri"hata 30 sijavuka ila naishi same life na wenye 40s tena waliofanikiwa... na nikifika 40 kwa hii spidi ya kuchukia vya bure.. napenda kusaka kwa jasho nahisi nitaajiri watanzania kibao.. kama under 30 nimetoa ajira..
Eti ninadrive , unamiliki KiBaby walker unakuja kujitapa unadrive....sema wewe una nini ? kama unajiamini taja jina lako hata pm tukugoogle... mpaka leo unaishi nyumba za kupanga unapanda madaladala .. huna hata genge ... unadanga tu unajisema una akili.. bora hata naeprint tshirt ila na drive, najenga , nasomesha na daily nakula bia za jasho langu..
mnategemea forex ndio itawakomboa kumbwe mnamchangia mjanja mtaji anaenda kuwekeza kwenye biashara za jasho
kama unajiamini taja jina lako au hata namba ya simu tu tukutrace tuone hata ka passo kama unamiliki... maana bajeti ya mashine za kuprint tshirt tu ambazo umezidharau najua huiwezi hata kwa kunusa
sema kama hata genge unamiliki bwege wewe,...
weka biashara yako na wewe hata moja
kama unajiamini tuonane.. kama hujajitongozesha na kulazimisha kunipa uchi wako mchafu
You're Such A wasted Spermsha ha ha naona matusi umeyahamishia kwa wazazi baada ya kuona huna unachomiliki na umri umeenda...
siwezi kumtukana mama yako na wala baba yako.. sababu nimelelewa vizuri na nimefundishwa kuheshimu wazazi awe wangu au wa mwezangu..
mimi na deal na wewe tu.. unamiliki nini? wanao watarithi nini? nina uhakika umri umenizidi ila kimaisha nimekutoa knck out..
sijazidi hata 30 ila nahudumia kampuni kama cool blue, millcom, zantel, udom etc.. kwa mimi hiyo tu ni zaidi ya blessing...
mama yangu uliyemtukana nae anafurahi anaona kweli kijana wake jasho langu linanibariki... na pasaka anaenda jerusalem kwa jasho la kijana wake... wewe unaetukana mama za wenzako jiulize mama yako ambaye wenzako wanamuheshimu.. umemfanyia jambo gani.. na ana kipi cha kujivunia kutoka kwako?
huna hata genge maskini ya Mungu .. nyinyi ndio mizigo kwenye taifa linalohamasisha viwanda