habari wadau
nimegundua kuna watu wana vipaji vya kupiga watu hela... mfano huyu dogo ontario
maana nimesoma thread ambayo dhumuni lake kuu ni kuitangaza bit coin na wenzake apige hela.. ila kaanzia mbali... kamix ma treni humo ya umeme.. kamix ma google map na magari yasiyo na madereva.. ili achanganye watu tu wasielewe kama wanategwa wapigwe hela zao....
nimekumbuka mbali sana....kwenye thread ya kwanza ya forex
mwanzo alianza hivi.. hii ni aya kwenye thread ya kwanza ya forex ya smart mind wetu ontario
Mimi nikikwambia nimelipa Rand 14,000 (ni kama mil 2.5) kwaajili ya 1 to 1 mentorship huwezi kuamini. But wanaoelewa forex wanajua nini namaanisha. Vijana makini sana ambao pia nina malengo ya kumeet nao mwakani wanaitwa AstroFX wana charge $7500 kwaajili ya 1 week training na 6 months guidance ktk forex.
Mimi nimekaa na kuwaza sana, nimefikiria nitoe offer ya watu wa mwanzo kabisa kutoka JF. It's gonna be
FREE! namaanisha 100% FREE. Watu 300 wa mwanzo nitakaoanza nao hii safari nitatoa learning materials, trainings, mentorship, na 3 months guidance for free. I am blessed to bless others - Don't misquote me.
Kwanini nafanya free?! Bado forex haijulikani TZ, na ni ngumu sana kubadili mind set ya watanzania wengi - ambao mara nyingi hua hawapendi kujifunza. So, natoa hii kitu for free kwa watu wa mwanzo, ili wapige pesa na wabadili financial status zao. Then hawa watu watakua ambassadors wangu, namaanisha hawa ndio watatutangaza pande zote za TZ. Watu wakimake consistent profits, wakaelewa how it works basi kama watu hawa si wachoyo wa mafanikio wataenda kuwashtua wenzao - ndugu, jamaa na marafiki. Hapo tutaanza na reasonable fees mpk tutakapoona ni muda sasa wa sisi nasi kula jasho letu, ndio tutaanza kuweka bei za faida.
Again I salute all you bosses
ONTARIO.
mwisho wa siku jiulize kama hao watu 300 walipata hiyo huduma free kama alivyoahidi... hii ni njia nzuri ya kumvuta mtu unamwambia huduma free kabla hajakaa sawa unampiga hela zake