Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Kuna kitabu kinamwelezea tapeli wa Marekani anaitwa Yellow Kid.

Sababu ya kufanikiwa kutapeli watu wengi bila kufikishwa kwenye vyombo vya usalama ni sheria ya miaka hiyo ambayo ilikua ikisema kua kila biashara itataka makubaliano ya pande mbili.

Yakifikiwa askari hawatakua na cha kufanya kwa kua mtu atakua ameingia makubaliano akiwa timamu bila kushinikizwa.
 
kama kwa siku unapata 290,000 kutoka forex so kwa mwezi utakuwa na 8,700,000 ambayo ni mara 16 ya take home ambayo unalipwa na serikali Je umisha acha hiyo kazi ya take home 560K???

Ukawaambie kwanza ma lectures kule vyuoni waache kazi zao za nje au wengine wakafanye biashara wanazofanya

biashara ni part ya maisha kama zingine ndio maana husomei miaka mingi kama profession yangu

cha pili, napenda SANA SANA SANA SANA kazi yangu sijapoteza miaka yote nisije kuifanya ko nafanya vyote
 
kama kwa siku unapata 290,000 kutoka forex so kwa mwezi utakuwa na 8,700,000 ambayo ni mara 16 ya take home ambayo unalipwa na serikali Je umisha acha hiyo kazi ya take home 560K???

sipati kwa siku ni kwa masaa, usiilazimishe data zako
 
Baada ya Nyerere kusema maadui wetu wakuu ni magonjwa, ujinga na umasikini

sasa hivi maadui wetu wakuu ni

1. Chuki

2. Wivu usio na tija

3. Ubinafsi na visasi!

Na hawa maadui wanawaandama mpaka viongozi wetu wa juu wa hili taifa!


watu wana chuki sanaaaa
 
hiyo thread ya bitcoin iko wapi sijaiona bado
 
View attachment 671630

bado naendelea kuzichuma taratibu
Hapa ndipo wewe bwana forex unaposhindwa kuelewa.

Watu hawana shida sana juu ya hizo takwimu za transactions.

Kinacholeta ukakasi ni tozo ya darasa la forex.

You do not want to be honest, and that is what rises doubts about you.

Kubali kwanza darasa la forex linatumika kama fursa ya kuchuma fedha, wala sio dhambi.

Kwanini hutaki ku admit hilo?
 
mkuu nimekuuliza hivyo kutokana nna sentensi yako pale juu unasema ni bora magufuli aongeze kodi ili watu wapanue akili kutafuta njia zingine za kuongeza kipato!
pia kama ktk hiyo forex kwa siku unaingiza hiyo 260K maana yake ukiacha kazi unayoifanya ukawekeza huko kwenye forex naamini baada ya wiki uta double hayo mapato utakuwa unapata 520K,ndio maana nashangaa ni mtu gani duniania ambaye hupo optimistic anaingiza kiasi hicho kikubwa cha fedha kwa siku kwa nini asiwekeze huko nguvu na maarifa yake bado anangangania mshahara wa 560K-unapendaje kazi amabyo haina tija kwako kimasilahi ??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…