Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.

Ko mnataka bure tuuu??? yaani watu watoke SA mje mpewe training bure? imekua training ya kitchen part? hata hiyo ina michango asee
 
Mpaka webiners zinataka hela
Ukitaka elimu kubali gharama
Hautaki itafute for free utakapoipata.

Ungekua mdau ungekua umeshakutana na wadau wanafundisha kwa $500

Nao tuwaitaje ?
 

Nina uwezo wa kumanage vyote viwili
 
achana nae nyumbu huyo.. anaona watu mazuzu.. ndugu zake maskini na yeye mwenyewe maskini mimi nimejitolea tushindane nae maisha jina halisi nalitaja na tuonane tunapoishi na mali tunazomiliki... nani kamzidi mwenzake...

anafikiri watu mazuzu humu



 
Yani laki 4 na 10 yote ni kodi aisee bongo sirudi bora nibaki zangu uku uku Sydney...Mshahara mdogo bonge la kodi duuu..
 
Kumbe hujui Forex na unajifanya much know nani kakwambia soko la Fx linafanya kaz siku 30 za mwez
We kweli econometrician uchwara
katika kuandika mtu anawez kupitiwa najua juma mosi na juma pili hamana trda,lakini hiyo haiondoi uhalisia wa swali ambalo nimemuuliza jamaa maana hata ukitoa hizo siku 8 ktk mwezi kulingana na mapato aliyotumbia unapata bado ni makubwa kuzidi mshahaara anaupata.Jibu hoja acha kuangalia makosa madogo dogo
 
Yani laki 4 na 10 yote ni kodi aisee bongo sirudi bora nibaki zangu uku uku Sydney...Mshahara mdogo bonge la kodi duuu..

Ndivyo kijana, ndio maana namsifu MAGUFULI anafungua watu akili, watu walizoea sana wizi na rushwa sahivi ni kilio usipojiongeza utaumia
 
Bado hauifahamu forex.
 
So ukiwa na kipato nje ya kazi yako ndo inapasa uiache??
Kuna watu wamesomea Kaz zao wana mahaba nazo kutoka moyoni hata wangekua wanalipwa posho tu achilia mbali mshahara wasingeziacha
 
acha kukwepa comment yangu nataka tushindane maisha mimi na wewe ya uhalisia.. je upo tayari..

unataja jina lako la kweli na tunaonana uso kwa uso na mashahidi wa jamiiforums...

tuone hizo laki mbili zako unazopata kila siku kwenye forex zimekupa mali kiasi gani..


mimi ni mkulima tu, mprint ma tshirt, mpiga picha na video na music producer tu wa kwaya...

kazi za mikono yangu zimenibariki... nakula.kwa jasho sio kwa kudownload hela na wizi wa ada za forex.... je upo tayari tusake mashahidi tuonane?


Ndivyo kijana, ndio maana namsifu MAGUFULI anafungua watu akili, watu walizoea sana wizi na rushwa sahivi ni kilio usipojiongeza utaumia
 

Hata mimi ni msomi ngazi ya degree pia nakula jasho akili za kichwa changu, pia ni mkulima kama wewe nakula matunda ya mikono yangu, PIA NI MFANYA FOREX MZURI SAAAAAAANA PIA NAKULA JASHO LA 130K
 
upo tayari tushindane? tutafute mashahidi.. tuone mtu wa forex anayoyasema ni kweli.. na mimi muhuni wa mtaani naekula kwa jasho nani amefanikiwa zaidi? je tuanzishe thread ya kusaka mashahidi?? tuonane weekend... gari natoa na nafuta naweka ya kubeba mashahidi na mizunguko yote


Hata mimi ni msomi ngazi ya degree pia nakula jasho akili za kichwa changu, pia ni mkulima kama wewe nakula matunda ya mikono yangu, PIA NI MFANYA FOREX MZURI SAAAAAAANA PIA NAKULA JASHO LA 130K
 
Wangeweka ushahidi,,pia wale wanaoenda darasan kusoma kwa ontario wangesema pia kwanini wasemee pm ina maana wanamuogopa ontario ama?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…