Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Kwanini afanyie darasa osterbay na sio mchikichini?
 
Weka picha ya iyo degree

ha ha ha picha ya graduation na joho au picha ya cheti,, ha ha ha jamaa yako kuonana hataki anajijua anamiliki pumbu tu.. anasema laki 2 anapata faida kila saaa..

angekuja gheto tu angezimia hizo documents na asset hazilingani na umri... hivi anafikiri degree ni ishu zama hizi...
 
Degree ni ushuzi tu siku hizi
 
Duuh umeongea jambo la kweli
 


Bitcoin ni currency kama ilivyo pure USD currency...

Hivyo unavyoona ponzi scheme inavyokua executed kwenye legal hard currency kama USD ndio hivyo hivyo inavyotumika soft currency kama bitcoin kufanya mabaya..Currency ni medium tu.

Tatizo ni kwamba,forex hii ya akina Ontario inafanywa kwa ngazi,kama pyramid,commission inakatwa kuanzia kwenye platform,mentor wako ,kushuka chini humu.Tree imekaa kama pyramid.Burden kubwa anabeba the last to enter.

Shida ni kwamba ni pyramid scheme at its core.
 
So ukiwa na kipato nje ya kazi yako ndo inapasa uiache??
Kuna watu wamesomea Kaz zao wana mahaba nazo kutoka moyoni hata wangekua wanalipwa posho tu achilia mbali mshahara wasingeziacha
hahahahh kwa Tanzania hapana eti ufanye kazi kwa mahaba ili hali upati mshahara labda iyo posho ni zaidi ya mshahara
 
Mkuu hivi kwa dunia ya sasa unaanzaje kumuamini mtu kirahisi ivyo.? Nikuonyeshe kwangu, then nikuonyeshe vitu ninavyo miliki then na doc zote.? ***** kama unani set.? Hata wewe inakuingilia akilini
 
Baada ya Nyerere kusema maadui wetu wakuu ni magonjwa, ujinga na umasikini

sasa hivi maadui wetu wakuu ni

1. Chuki

2. Wivu usio na tija

3. Ubinafsi na visasi!

Na hawa maadui wanawaandama mpaka viongozi wetu wa juu wa hili taifa!

Hao maadui uliowataja wote sababu kuu ni umaskini. Umaskini ni mwiba kwetu.
 
mali ikiwa yako halali hakuna mtu anaeweza kukuibia ukiwa smart.. mfano una copy ya hati au kadi ya gari yenye jina lako hata mtu akiiba ataifanyia nini? sababu wewe una declare tu polisi zimepotea unaenda tra unapewa docs mpya..

acheni kutafuta sababu... au ofisini kwako mfano wanakuja wateja wangapi huwajui na hawakujui mbona hawakuibiii chochote.. mwizi au jambazi ni mwizi tu.. kitu ambacho cha kuficha ni hela tu ambazo zinakuwa bank labda na madini.. ila vingine vyote mtu hana jeuri ya kukuibia akiona document... cheti cha degree mfano hata akiiba bado degree yako unayo kichwani...

acheni kutafuta excuses


Mkuu hivi kwa dunia ya sasa unaanzaje kumuamini mtu kirahisi ivyo.? Nikuonyeshe kwangu, then nikuonyeshe vitu ninavyo miliki then na doc zote.? ***** kama unani set.? Hata wewe inakuingilia akilini
 

Halafu ukishajua vyote hivyo itakusadia Na nini katika maisha yako? Kama unakula kwa jasho lako shukuru Mungu kwa hilo kila MTU alikuja hapa duniani kivyake Na tutaondoka kivyetu. Na kila MTU ana jinsi ya Ku survive kimaisha so mashindano ni ya nini?
 

Don’t work hard work smart.Dunia imebadilika sana huhitaji kutoka jasho ndo upate pesa ila unahitaji akili na informations
 
Malengo yako yanaweza kuwa zaidi ya hayo. Labda nikuulize swali la msingi kwa nini umeng'ang'ania sana swala la kuonana wewe inakusaidia nini.? Unafaidika na nini.?
 
unajua kwa nini nimemjibu hivyo na kumuomba tushindane... soma post zake toka alivyokuja na mikwara yake... nilitaka nimuoneshe kuna hela halali nyingi tu mtaani bila kujisifia sifia... aliyeanza kujisifia ni yeye halafu anajisifia uongo sasa... msome tangu mwanzo utamuona alikujaje

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…