Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Secretary wa ontanario bhana
whatever, hata nikiwa mpishi forex inanipa pesa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Secretary wa ontanario bhana
[emoji23] [emoji23] acha uongo nakujua fika mkuu
Kwanini afanyie darasa osterbay na sio mchikichini?Mkuu usiwe unapenda vitu vya bure ww ulitaka Onta asitose ada yoyote? Ww unajua gharama za kupagisha Room Os'bay kwa ajili ya hilo darasa?
Jamaa kwenye thread yake ya kwanza alitahadharisha akasema ni biashara ambayo ma bank mengi haitaki watu waijue.. Sasa nawasiwasi na baadhi ya mabank yamesha mshtukia jamaa, watu kama nyie mnatumwa kuja kuchange upepo kwenye mitandao..
Wanasema forex ni kimbunga kinakuja huwezi kukizuia kwa viganja..
Ontario ana vibali vyote vya kuendesha biashara kama ni tapeli kwanini hadi sasa hivi yupo mtaani, wakati ofisi zake zipo karibu na makao makuu ya usalama wa taifa?
Kuendekeza chuki kwa jamaa ni kujipa presha wee relax
Cc Jestkilla
Weka picha ya iyo degree
Degree ni ushuzi tu siku hiziha ha ha picha ya graduation na joho au picha ya cheti,, ha ha ha jamaa yako kuonana hataki anajijua anamiliki pumbu tu.. anasema laki 2 anapata faida kila saaa..
angekuja gheto tu angezimia hizo documents na asset hazilingani na umri... hivi anafikiri degree ni ishu zama hizi...
Duuh umeongea jambo la kweliukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa yenyewe... hayo maneno ya umepiga hela nenda kawaambie ndugu zako maskini nao wapigw hela ili mjikomboe ukoo wenu kwanza...
wewe una ndugu zako maskini huwafundishi.. ila unafundisha watu usiowajua watajirike ha ha ha ha
mnaona watu mazuzu sana
kwa njia ya bitcoin unahisi akitushawishi kuingia humo atapigaje watu hela? weka maelezo ya kutosha usimshambulie mtu bila kuwa na maelezo ya kutetea point yako. namaanisha hiyo ya bitcoin maana hata ya forex trading kuna mtu kakuprove wrong tiyari karibu
hahahahahahahaHAfukuzwe uanachama
hahahahh kwa Tanzania hapana eti ufanye kazi kwa mahaba ili hali upati mshahara labda iyo posho ni zaidi ya mshaharaSo ukiwa na kipato nje ya kazi yako ndo inapasa uiache??
Kuna watu wamesomea Kaz zao wana mahaba nazo kutoka moyoni hata wangekua wanalipwa posho tu achilia mbali mshahara wasingeziacha
Mkuu hivi kwa dunia ya sasa unaanzaje kumuamini mtu kirahisi ivyo.? Nikuonyeshe kwangu, then nikuonyeshe vitu ninavyo miliki then na doc zote.? ***** kama unani set.? Hata wewe inakuingilia akiliniacha bla bla tuonane na mashahidi wawepo.. kama upo tayari tuanzishe uzi wa kualika mashahidi... mimi najitolea mafuta na gari la mizunguko yote... tunaoneshana maisha tunayohishi.. mnakuja kwangu.. tunaenda kwako, kisha tunaanza asset tunazomiliki na documents zake.. tutajua nani mkweli..
kama kweli unapataga laki mbili kwa siku forex mbona unakuwa muoga.. au huna unachomiliki?
Baada ya Nyerere kusema maadui wetu wakuu ni magonjwa, ujinga na umasikini
sasa hivi maadui wetu wakuu ni
1. Chuki
2. Wivu usio na tija
3. Ubinafsi na visasi!
Na hawa maadui wanawaandama mpaka viongozi wetu wa juu wa hili taifa!
Ni kweli umaskini plus ujinga ndio vimeleta chuki, wivu na ubinafsi...Hao maadui uliowataja wote sababu kuu ni umaskini. Umaskini ni mwiba kwetu.
Mkuu hivi kwa dunia ya sasa unaanzaje kumuamini mtu kirahisi ivyo.? Nikuonyeshe kwangu, then nikuonyeshe vitu ninavyo miliki then na doc zote.? ***** kama unani set.? Hata wewe inakuingilia akilini
Hii pair leo ipo vizuri kimtindo...............View attachment 671625
Endeleeni kupiga kelele watu tunapiga pesaa kama uchafuu, usd 125 (290,000) na kila siku ni mwendo huo huo nimekaa tu, angalia na muda nilioingiza
Hii pair leo ipo vizuri kimtindo...............
upo tayari tushindane? tutafute mashahidi.. tuone mtu wa forex anayoyasema ni kweli.. na mimi muhuni wa mtaani naekula kwa jasho nani amefanikiwa zaidi? je tuanzishe thread ya kusaka mashahidi?? tuonane weekend... gari natoa na nafuta naweka ya kubeba mashahidi na mizunguko yote
mjinga wewe ningekuonesha mtaani tunavyosaka hela kwa jasho sio bla bla eti laki 2 faida kwa saa... unaijua laki mbili wewe kwa saa wewe...
watu under 30 tu ila tuna drive,tuna familia, tunasomesha, tunajenga, tuna biashara ndogo ndogo za jashoooo...
sio dume zima kama demu unajivunia mafanikio ya mwalimu wako... jivunie vya kwako...
na hayo mafanikio ya uliyemtaja mnamchangia nyie mazuzu ada zenu hizo... yeye haziweki forex anaenda ziwekezea kwenye real business zinazo solve real problems kama kilimo...
njoo nikufundishe hata kuprint tshirt bure ukajikomboe bwege wewe... usipende pesa za kufikirika...
toka jasho upate hela hata ukishushia na bia yako baada ya kazi nayo inakuwa inavuja jasho
Malengo yako yanaweza kuwa zaidi ya hayo. Labda nikuulize swali la msingi kwa nini umeng'ang'ania sana swala la kuonana wewe inakusaidia nini.? Unafaidika na nini.?mali ikiwa yako halali hakuna mtu anaeweza kukuibia ukiwa smart.. mfano una copy ya hati au kadi ya gari yenye jina lako hata mtu akiiba ataifanyia nini? sababu wewe una declare tu polisi zimepotea unaenda tra unapewa docs mpya..
acheni kutafuta sababu... au ofisini kwako mfano wanakuja wateja wangapi huwajui na hawakujui mbona hawakuibiii chochote.. mwizi au jambazi ni mwizi tu.. kitu ambacho cha kuficha ni hela tu ambazo zinakuwa bank labda na madini.. ila vingine vyote mtu hana jeuri ya kukuibia akiona document... cheti cha degree mfano hata akiiba bado degree yako unayo kichwani...
acheni kutafuta excuses
Halafu ukishajua vyote hivyo itakusadia Na nini katika maisha yako? Kama unakula kwa jasho lako shukuru Mungu kwa hilo kila MTU alikuja hapa duniani kivyake Na tutaondoka kivyetu. Na kila MTU ana jinsi ya Ku survive kimaisha so mashindano ni ya nini?