Malengo yako yanaweza kuwa zaidi ya hayo. Labda nikuulize swali la msingi kwa nini umeng'ang'ania sana swala la kuonana wewe inakusaidia nini.? Unafaidika na nini.?
Sawa mkuu umeeeleweka. Ila mimi maisha yangu siwezi kuya expose kirahisi namna hiyo. Endeleeni kubembelezana muonyeshane mali zenuili ajifunze siku zingine kutodharau watu asiowajua mitandaoni... akaanza kutukana mpaka mambo ya degree... msomeni ndugu yenu tangu mwanzo amekuja na mikwara gani... humu kuna watu kibao wapo vizuri hawana makelele... nilitaka dogo aje aone kwa macho kaka zake tunavyopambana na ashike adabu kujua watu tunafanya mengi tu madogo madogo na maisha yanasomeka vizuri... na hatuibiii wala kutapeli watu
unajua kwa nini nimemjibu hivyo na kumuomba tushindane... soma post zake toka alivyokuja na mikwara yake... nilitaka nimuoneshe kuna hela halali nyingi tu mtaani bila kujisifia sifia... aliyeanza kujisifia ni yeye halafu anajisifia uongo sasa... msome tangu mwanzo utamuona alikujaje
Kwani atawachapa?Wangeweka ushahidi,,pia wale wanaoenda darasan kusoma kwa ontario wangesema pia kwanini wasemee pm ina maana wanamuogopa ontario ama?
Hahaaaaaaa........Kwahiyo wakuu tumeamuaje kuhusu ONTARIO
So point yako ni ipi kiongozi? Ontario amesha zunguka mikoa karibu yote Tanzania... Na walio nufaika na darasa lake hawapo tena jf wanapiga hela kimya kimya....Kwanini afanyie darasa osterbay na sio mchikichini?
So point yako ni ipi kiongozi? Ontario amesha zunguka mikoa karibu yote Tanzania... Na walio nufaika na darasa lake hawapo tena jf wanapiga hela kimya kimya....Kwanini afanyie darasa osterbay na sio mchikichini?
Bitcoin ni currency kama ilivyo pure USD currency...
Hivyo unavyoona ponzi scheme inavyokua executed kwenye legal hard currency kama USD ndio hivyo hivyo inavyotumika soft currency kama bitcoin kufanya mabaya..Currency ni medium tu.
Tatizo ni kwamba,forex hii ya akina Ontario inafanywa kwa ngazi,kama pyramid,commission inakatwa kuanzia kwenye platform,mentor wako ,kushuka chini humu.Tree imekaa kama pyramid.Burden kubwa anabeba the last to enter.
Shida ni kwamba ni pyramid scheme at its core.
Labda wewe mkuuUmesikitika ivyo ulitaka afe nan?
Yani mimi nife mrema abaki acheni matani ya ivyoLabda wewe mkuu
Wewe kwani una nini jamaniYani mimi nife mrema abaki acheni matani ya ivyo
Sababu nina machine ya kufanya house and car printingWewe kwani una nini jamani
Kudownload pesa na swala la kuwa mwanaume linahusiana vipiMwanaume mzima eti umekalisha makalio yako ati unasema unadownload hela hiyo akili matope? Forex ni wizi kama wizi mwingine tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana mdogo anaiumiza kichwa mibaba ya JF kila siku inamjadili, inasikitisha!