- Thread starter
- #121
ili ajifunze siku zingine kutodharau watu asiowajua mitandaoni... akaanza kutukana mpaka mambo ya degree... msomeni ndugu yenu tangu mwanzo amekuja na mikwara gani... humu kuna watu kibao wapo vizuri hawana makelele... nilitaka dogo aje aone kwa macho kaka zake tunavyopambana na ashike adabu kujua watu tunafanya mengi tu madogo madogo na maisha yanasomeka vizuri... na hatuibiii wala kutapeli watu
Malengo yako yanaweza kuwa zaidi ya hayo. Labda nikuulize swali la msingi kwa nini umeng'ang'ania sana swala la kuonana wewe inakusaidia nini.? Unafaidika na nini.?