umri wangu ni haujazidi miaka 30... ila vitu nilivyofanya ni wachache sana waliovifanya wa umri wangu.. sijawai kuogopa maisha.. kama unabisha nakupa link hiyo kuna biashara zangu mojawapo
Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos na namba za simu angalia hizo namba ingiza tigo pesa uone jina langu... kisha ni trace. halafu uje ujifananishe wakati una miaka 30 kama umewai kuwa na maisha kama yangu
nenda ka trace photo studio mabibo hostel google... nenda ka trace tshirt garage mabibo hostel, nenda ka trace mamba studios.. nenda ka trace kibanda umiza mabibo hostel.. nenda ka trace sesten logistics... utapata details unaongea na nani..
kisha na wewe uweke link ya jina lako tu au unavyomiliki au hata mwanahisa tukutrace.. ikiwezekana hata tuonane.. bwege wewe mtegemea vya bure... ontario anawawewesesha msiopenda kutoka jasho.. wajinga nyinyi
mtu huna hata genge unategemea hela u download mtandaoni ambazo wanaume wanazitafuta kwa jasho.. mwisho wa siku mnakuwa mashoga nyinyi kwa kupenda vya bure
nina uhakika umri tu ndicho umenizidi bwege wewe kama unabisha tuonane kama hujashoboka
kama unajiamini hata humu humu jamvini tutaje real names na tuweke namba za simu
watu watutembelee waone tunayoyafanya tujue nani mtafutaji..
desparate people ndio mnamuona ontario ni mkombozi wenu kumbe anawapiga tu.
kama unataka kujikomboa tambua hakuna easy money duniani..
pamoja na uzee wako wewe najua hata bei ya tofali hujui? hata toyota used tu sizani kama umewahi agiza hata japan;; hata genge nahisi huna.. ndio unategemea forex ikutendee miujiza upate hata bajaj.. mwisho wa siku unapigwaa
focus on real business zinazo solve real problems
Unaleta maisha ya historia hapa watu tumefanya kaz na tunafanya kaz na hao american masuala ya security wewe unaleta historia acha wivu ontario anakuwewesesha sana utakonda mwaka huu et ubalozi wa marekani nyie ndio umri umeenda mnabak kuhadisia stor za kufanya kaz sehem flan kisa mvizie gahawa na mizinga kwa vijana Sheeeeenzi.