Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,075
- 38,625
Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba!
Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema kabisa ili tujue yeye ni nani na kwamba si muoga wa maneno ya watu matamko na mijadala yao.
Haikudhanika kama mtoto angekuwa miongoni mwa watakao unda serikali, mtoto na mume wake wako kwenye baraza la mawazi linalo unda serikali !
Hii inatokea kukiwa na shinikizo kubwa sana dhidi ya utawala wake lakini hakujali, ndio maana ya msemo onyesha sumu yako mapema!
Angefanya hivyo kesho ama kesho kutwa japo usingekuwa mjadala wenye athari ila kufanya hivi mapema mpaka kati kati huko ya 2028 hata kama hawata kuwa mawaziri ila wa nasaba naye karibu wote watakuwa serikalini.
Kazi inabaki kwetu na watoto wetu, labda hakuna rangi hatuta kosa kuiona.