kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Acha ujinga mtamtisha nani? Ccm ina kazi ya kujenga nchi wakati chadema ina kazi ya kubomoa nchi. Nani wana majukumu matukufu? Ccm itachukua kila hatua kuizuia chadema kwenye malengo yao haram.Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM...