ONYO: CEO Barbra maadui mtasafiri nao kwa ndege kwenda Afrika Kusini, kuweni waangalifu

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua safari hii mziki utakuwa mkubwa sana

Niko chini ya miguu yenu uongozi wa simba, hawa wanaoitwa waandishi kuweni nao makini sana wawekeni mbali na wachezaji huko south africa najua watakuja wengi sana na lengo ila asilimia 99 yao ni nyie mpigwe goli za kutosha SIYO MARAFIKI ZETU KABISA

Msirudie lile kosa la mwaka jana kushoboka na wanaoitwa watanzania waishio south africa..maisha kule magumu na watu wana roho ngumu sana kupata maelekezo yoyote ya mtu kufanya kwa wachezaji kwa kigezo cha kukumbatian na kusalimiana watu hawashindwi nyie mkijua ni watanzania wenzenu

Ikiwezekana muingie usiku siku mbili kabla ya mechi kama orlando na mazoezi yafanyika uwanja wao siku moja kabla ya mechi msiwe na open session kama mwaka jana vs kaizer chiefs

Msisahau kubeba mtu wa uchawi (Muthi) maana jamaa wako vizuri kwa hilo

Kabala ya mechi watingisheni kwamba mmehisi kuna sumu vyumbani lalamikeni kwa kamisaa kuwatoa mchezoni siyo mnaonewa kama moroko mnakuwa kama makondoo

Msisahau kuweka watu wawili kulinda vyumba

Hii ngoma ngumu tenga fungu la maana Abbas gaza atafute hata watu wa kaizer chiefs wampe ujanja hata njia ya kwenda uwanjani siku hiyo ikiwezekana mbadili njia ya kwenda uwanjani na muwahi muda wa kutoka hotelini
 
Unawakataa wanahabari afu unasema wambebe sangoma

Pua pua pua
Hakuna wanahabari bongo wewee kuna majinga tu wana habari walikuwa kina majura, ulimwengu, stan katabalo unataka kuniambia priva na juma lokole ni wana habari? tena wakae nao mbali wsiguse hata nywele za wachezaji
 
wana habari wetu wengi wa michongo tu ni kuwa makini nao sana
hakuna kitu hapa mengi yameumia roho kishenzi mwaka jana mechi ya kaizer chiefs simba walijiachia nao wanacheka cheka nao kumbe makanjanja hata yakipewa sumu yawawekee wachezaji yatafanya kikamilifu yana njaa mnoo
 
Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua safari hii mziki utakuwa mkubwa sana

Niko chini ya miguu yenu uongozi wa simba, hawa wanaoitwa waandishi kuweni nao makini sana wawekeni mbali na wachezaji huko south africa najua watakuja wengi sana na lengo ila asilimia 99 yao ni nyie mpigwe goli za kutosha SIYO MARAFIKI ZETU KABISA

Msirudie lile kosa la mwaka jana kushoboka na wanaoitwa watanzania waishio south africa..maisha kule magumu na watu wana roho ngumu sana kupata maelekezo yoyote ya mtu kufanya kwa wachezaji kwa kigezo cha kukumbatian na kusalimiana watu hawashindwi nyie mkijua ni watanzania wenzenu

Ikiwezekana muingie usiku siku mbili kabla ya mechi kama orlando na mazoezi yafanyika uwanja wao siku moja kabla ya mechi msiwe na open session kama mwaka jana vs kaizer chiefs

Msisahau kubeba mtu wa uchawi (Muthi) maana jamaa wako vizuri kwa hilo

Kabala ya mechi watingisheni kwamba mmehisi kuna sumu vyumbani lalamikeni kwa kamisaa kuwatoa mchezoni siyo mnaonewa kama moroko mnakuwa kama makondoo

Msisahau kuweka watu wawili kulinda vyumba

Hii ngoma ngumu tenga fungu la maana Abbas gaza atafute hata watu wa kaizer chiefs wampe ujanja hata njia ya kwenda uwanjani siku hiyo ikiwezekana mbadili njia ya kwenda uwanjani na muwahi muda wa kutoka hotelini
Kwamba wewe una akili kuliko viongozi wa team? fanya wajibu wako kama shabiki acha kujitia kujua
 
Kumbe bado tuhahusudu ushirikina kwenye soka katika Karne hii ya 21? Kweli Afrika bado tuna safari ndefu sana kufika hatua walizofika Wazungu.
 
Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua safari hii mziki utakuwa mkubwa sana

Niko chini ya miguu yenu uongozi wa simba, hawa wanaoitwa waandishi kuweni nao makini sana wawekeni mbali na wachezaji huko south africa najua watakuja wengi sana na lengo ila asilimia 99 yao ni nyie mpigwe goli za kutosha SIYO MARAFIKI ZETU KABISA

Msirudie lile kosa la mwaka jana kushoboka na wanaoitwa watanzania waishio south africa..maisha kule magumu na watu wana roho ngumu sana kupata maelekezo yoyote ya mtu kufanya kwa wachezaji kwa kigezo cha kukumbatian na kusalimiana watu hawashindwi nyie mkijua ni watanzania wenzenu

Ikiwezekana muingie usiku siku mbili kabla ya mechi kama orlando na mazoezi yafanyika uwanja wao siku moja kabla ya mechi msiwe na open session kama mwaka jana vs kaizer chiefs

Msisahau kubeba mtu wa uchawi (Muthi) maana jamaa wako vizuri kwa hilo

Kabala ya mechi watingisheni kwamba mmehisi kuna sumu vyumbani lalamikeni kwa kamisaa kuwatoa mchezoni siyo mnaonewa kama moroko mnakuwa kama makondoo

Msisahau kuweka watu wawili kulinda vyumba

Hii ngoma ngumu tenga fungu la maana Abbas gaza atafute hata watu wa kaizer chiefs wampe ujanja hata njia ya kwenda uwanjani siku hiyo ikiwezekana mbadili njia ya kwenda uwanjani na muwahi muda wa kutoka hotelini
Uko sahihi [emoji817]%, hakuna kuamini mtu. Tambueni tunatafutwa ili tushindwe.

Waandishi wa habari wa kibongo wasiende tuende na mmoja tu kutoka Azam media aliyefanyiwa vetting.

Barbra uwe makini sana.

Tunaipenda timu yetu
 
Hakuna wanahabari bongo wewee kuna majinga tu wana habari walikuwa kina majura, ulimwengu, stan katabalo unataka kuniambia priva na juma lokole ni wana habari? tena wakae nao mbali wsiguse hata nywele za wachezaji
Kuna kile kitangazaji Cha michezo efm chakike kinaitwa tunu Hassan kisiisogelee timu yetu
 
Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua safari hii mziki utakuwa mkubwa sana

Niko chini ya miguu yenu uongozi wa simba, hawa wanaoitwa waandishi kuweni nao makini sana wawekeni mbali na wachezaji huko south africa najua watakuja wengi sana na lengo ila asilimia 99 yao ni nyie mpigwe goli za kutosha SIYO MARAFIKI ZETU KABISA

Msirudie lile kosa la mwaka jana kushoboka na wanaoitwa watanzania waishio south africa..maisha kule magumu na watu wana roho ngumu sana kupata maelekezo yoyote ya mtu kufanya kwa wachezaji kwa kigezo cha kukumbatian na kusalimiana watu hawashindwi nyie mkijua ni watanzania wenzenu

Ikiwezekana muingie usiku siku mbili kabla ya mechi kama orlando na mazoezi yafanyika uwanja wao siku moja kabla ya mechi msiwe na open session kama mwaka jana vs kaizer chiefs

Msisahau kubeba mtu wa uchawi (Muthi) maana jamaa wako vizuri kwa hilo

Kabala ya mechi watingisheni kwamba mmehisi kuna sumu vyumbani lalamikeni kwa kamisaa kuwatoa mchezoni siyo mnaonewa kama moroko mnakuwa kama makondoo

Msisahau kuweka watu wawili kulinda vyumba

Hii ngoma ngumu tenga fungu la maana Abbas gaza atafute hata watu wa kaizer chiefs wampe ujanja hata njia ya kwenda uwanjani siku hiyo ikiwezekana mbadili njia ya kwenda uwanjani na muwahi muda wa kutoka hotelini
Naunga mkono hoja kwa [emoji817]. Kitendo cha kuwahi siku 3 au 4 kwa kisingizio cha kuzoea Hali ya hewa Kabla ya mechi nikujiweka hatarini. Maadui ni wengi Kupita maelezo.
 
Kuna kile kitangazaji Cha michezo efm chakike kinaitwa tunu Hassan kisiisogelee timu yetu
wako wengi sana kosa la mwaka jana waliwekwa karibu simba ikatangalia siku 4 kabla wakawa karibu na watu wanaoitwa watanzania wa kule, kukawa NA KIRUSI MSUKULE kilistukiwa kikaaachwa bongo kikafosi kusafiri na kulala kwenye kochi hotelini hapo ili kutimiza lengo la simba kutolewa na kaizer chiefs mwaka huu nitashangaa sana simba wakirudia makosa hayo tena
 
Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua safari hii mziki utakuwa mkubwa sana

Niko chini ya miguu yenu uongozi wa simba, hawa wanaoitwa waandishi kuweni nao makini sana wawekeni mbali na wachezaji huko south africa najua watakuja wengi sana na lengo ila asilimia 99 yao ni nyie mpigwe goli za kutosha SIYO MARAFIKI ZETU KABISA

Msirudie lile kosa la mwaka jana kushoboka na wanaoitwa watanzania waishio south africa..maisha kule magumu na watu wana roho ngumu sana kupata maelekezo yoyote ya mtu kufanya kwa wachezaji kwa kigezo cha kukumbatian na kusalimiana watu hawashindwi nyie mkijua ni watanzania wenzenu

Ikiwezekana muingie usiku siku mbili kabla ya mechi kama orlando na mazoezi yafanyika uwanja wao siku moja kabla ya mechi msiwe na open session kama mwaka jana vs kaizer chiefs

Msisahau kubeba mtu wa uchawi (Muthi) maana jamaa wako vizuri kwa hilo

Kabala ya mechi watingisheni kwamba mmehisi kuna sumu vyumbani lalamikeni kwa kamisaa kuwatoa mchezoni siyo mnaonewa kama moroko mnakuwa kama makondoo

Msisahau kuweka watu wawili kulinda vyumba

Hii ngoma ngumu tenga fungu la maana Abbas gaza atafute hata watu wa kaizer chiefs wampe ujanja hata njia ya kwenda uwanjani siku hiyo ikiwezekana mbadili njia ya kwenda uwanjani na muwahi muda wa kutoka hotelini
Mshajifia alafu unajitia ujuaji mwiiingi for nothing,,,waandishi wa habari wanacheza namba ngapi uwanjani? Mlipoenda moroco na ivory coast mkachezea nyingi pia mlihujumiwa na wabaya wenu? Au safari hii mmesajili timu mpya iliyobadilika kucheza mechi za ugenini? Acha ushamba wewe unakimbilia kwenye mambo ya kishirikina mliyozoea kufanya hapa mnajua na wenzenu ni wazee wa makafara Kama nyie ovyo kabisa, mpira ni uwekezaji na sio porojo za kwenye kahawa izo
 
Rivers utd oyeee nyoko nyoookoo eti mwaka huu lengo letu kufika nusu fainali ya champions league, nyoookooo
 
Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua safari hii mziki utakuwa mkubwa sana

Niko chini ya miguu yenu uongozi wa simba, hawa wanaoitwa waandishi kuweni nao makini sana wawekeni mbali na wachezaji huko south africa najua watakuja wengi sana na lengo ila asilimia 99 yao ni nyie mpigwe goli za kutosha SIYO MARAFIKI ZETU KABISA

Msirudie lile kosa la mwaka jana kushoboka na wanaoitwa watanzania waishio south africa..maisha kule magumu na watu wana roho ngumu sana kupata maelekezo yoyote ya mtu kufanya kwa wachezaji kwa kigezo cha kukumbatian na kusalimiana watu hawashindwi nyie mkijua ni watanzania wenzenu

Ikiwezekana muingie usiku siku mbili kabla ya mechi kama orlando na mazoezi yafanyika uwanja wao siku moja kabla ya mechi msiwe na open session kama mwaka jana vs kaizer chiefs

Msisahau kubeba mtu wa uchawi (Muthi) maana jamaa wako vizuri kwa hilo

Kabala ya mechi watingisheni kwamba mmehisi kuna sumu vyumbani lalamikeni kwa kamisaa kuwatoa mchezoni siyo mnaonewa kama moroko mnakuwa kama makondoo

Msisahau kuweka watu wawili kulinda vyumba

Hii ngoma ngumu tenga fungu la maana Abbas gaza atafute hata watu wa kaizer chiefs wampe ujanja hata njia ya kwenda uwanjani siku hiyo ikiwezekana mbadili njia ya kwenda uwanjani na muwahi muda wa kutoka hotelini
Na kubwa zaidi wasiwasikilize wale wachambuziiiii. Wafuate mipango yao nadhani timu ina watu makini
 
Back
Top Bottom