ONYO: CEO Barbra maadui mtasafiri nao kwa ndege kwenda Afrika Kusini, kuweni waangalifu

ONYO: CEO Barbra maadui mtasafiri nao kwa ndege kwenda Afrika Kusini, kuweni waangalifu

wako wengi sana kosa la mwaka jana waliwekwa karibu simba ikatangalia siku 4 kabla wakawa karibu na watu wanaoitwa watanzania wa kule, kukawa NA KIRUSI MSUKULE kilistukiwa kikaaachwa bongo kikafosi kusafiri na kulala kwenye kochi hotelini hapo ili kutimiza lengo la simba kutolewa na kaizer chiefs mwaka huu nitashangaa sana simba wakirudia makosa hayo tena
Tayari timu imechelewa kutoka Dar nadhani ushauri huu umepokelewa na wanajua kila kitu.
Mungu ni mwema naiona sare tasa na sare ya magoli kwa wakati mmoja.
Mungu saidia ndoto yangu hii itimie haswaa.
Naipenda simba yangu.
 
Hio ndoto haito kaa itokee
 
Ukiijua SOUTH AFRICA vizuri huwezi kusema Soweto ni mji wa uzunguni, shida ni pale fukara anapotak kuonekana kuwa nae katembea.

Humu ni chaka kubwa sana, huwezi leta porojo hovyohovyo.
Mkuu Sandton city sio UZUNGUNI kweli?? Hivi nyie wauza ngada mnaona huko kwa Madiba mmefika peke yenu??
Jamaa kaeleza wazi kabisa kuwa Simba watafikia Sandton na kweli wamefikia hapo ambapo sio mbali na Soweto.
Soweto sio kwamba uzunguni ila hapo walipofikia Simba ni Uzunguni bhana.
 
Wewe akili huna, ngoja nikuweke darasani.

Johannesburg ni mji ambao upo kwenye jimbo la Gauteng Province, na jimbo hilo lina City of Johannesburg na Pretoria.

Ndani ya Johannesburg kuna Sandton City na Rose bank hii ni totally ni miji ya wazungu na nina uhakika Simba watafikia huku.

Johannesburg hiyohiyo ina South and west townships au kifupi chake ndio Soweto na ndio townships za weusi na ndio nyumbani kwa Orlando na uwanja wa FNB upo Soweto.

Labda kama ulikuwa unadhani Soweto ni sehemu kama magomeni basi unaota ndoto, Soweto peke yake ukilinganisha na jiji zima la Dar Soweto ni kubwa.

Kirefu cha SOWETO ni South and West townships.

Nimekupa elimu kidogo ujuwe hujui.
Usibishane na wauza ngada.
 
Mkuu Sandton city sio UZUNGUNI kweli?? Hivi nyie wauza ngada mnaona huko kwa Madiba mmefika peke yenu??
Jamaa kaeleza wazi kabisa kuwa Simba watafikia Sandton na kweli wamefikia hapo ambapo sio mbali na Soweto.
Soweto sio kwamba uzunguni ila hapo walipofikia Simba ni Uzunguni bhana.
Sijona sababu yoyote ya wewe kuniita muuza ngada, hasa ukizingatia kwamba hakuna sehemu ambayo nimekutukana.

Nimefurahi sana kuona kuwa hata wewe unakubaliana na mimi kuwa SOWETO sio uzunguni, hiyo inatosha, ngoja na mimi nikutukane sasa.

Muuza ngada ni mama yako mwenye K kama pipa la pombe...!!
 
Nimecheka saaaaaaaaaaaaaaaana, wasalimie Hillbrow.
 
Back
Top Bottom