Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe akili huna, ngoja nikuweke darasani.Ukiijua SOUTH AFRICA vizuri huwezi kusema Soweto ni mji wa uzunguni, shida ni pale fukara anapotak kuonekana kuwa nae katembea.
Humu ni chaka kubwa sana, huwezi leta porojo hovyohovyo.
Johannesburg ni mji ambao upo kwenye jimbo la Gauteng Province, na jimbo hilo lina City of Johannesburg na Pretoria.
Ndani ya Johannesburg kuna Sandton City na Rose bank hii ni totally ni miji ya wazungu na nina uhakika Simba watafikia huku.
Johannesburg hiyohiyo ina South and west townships au kifupi chake ndio Soweto na ndio townships za weusi na ndio nyumbani kwa Orlando na uwanja wa FNB upo Soweto.
Labda kama ulikuwa unadhani Soweto ni sehemu kama magomeni basi unaota ndoto, Soweto peke yake ukilinganisha na jiji zima la Dar Soweto ni kubwa.
Kirefu cha SOWETO ni South and West townships.
Nimekupa elimu kidogo ujuwe hujui.