ONYO: CEO Barbra maadui mtasafiri nao kwa ndege kwenda Afrika Kusini, kuweni waangalifu

Ukiijua SOUTH AFRICA vizuri huwezi kusema Soweto ni mji wa uzunguni, shida ni pale fukara anapotak kuonekana kuwa nae katembea.

Humu ni chaka kubwa sana, huwezi leta porojo hovyohovyo.
Wewe akili huna, ngoja nikuweke darasani.

Johannesburg ni mji ambao upo kwenye jimbo la Gauteng Province, na jimbo hilo lina City of Johannesburg na Pretoria.

Ndani ya Johannesburg kuna Sandton City na Rose bank hii ni totally ni miji ya wazungu na nina uhakika Simba watafikia huku.

Johannesburg hiyohiyo ina South and west townships au kifupi chake ndio Soweto na ndio townships za weusi na ndio nyumbani kwa Orlando na uwanja wa FNB upo Soweto.

Labda kama ulikuwa unadhani Soweto ni sehemu kama magomeni basi unaota ndoto, Soweto peke yake ukilinganisha na jiji zima la Dar Soweto ni kubwa.

Kirefu cha SOWETO ni South and West townships.

Nimekupa elimu kidogo ujuwe hujui.
 
Shida inakuja unapotaka kuaminisha watu kuwa SOWETO ndiyo sehemu nzuri sana ikiliinganishwa na pengine SA.

Wakati wewe unaeleza kwa kuisoma kwenye makaratasi ,mimi nimefika mwaka juzi tu (2020) na kuishi zaidi ya miezi sita kabisa. Ni sawa na mtu wa atake kuijua Dar kwa kuangalia documentaries na picha ni lazima alione kama bonge la jiji kumbe kawaida tu.

SOWETO ndio sehemu ambayo imekaliwa na ngozi nyeusi kwa asilimia kubwa (ni kama walitengwa huko ) sehemu isiyothaminika kama zingine kama jinsi ambavyo unataka kuikuza

SOWETO sio mji mkubwa kimaendeleo unapojaribu kuilinganisha na sehemu nyingine za SA.
 
Ile game yetu na KIZER tulienda na team ya waandishi wa habari wengi.
Hatari wakawa wanajiachia na wachezaji kwenye makochi only god knows hujuma gani zilifanyika,kosa lisirudiwe na ile kufanya mazoezi ya wazi na hao watanzania wakawa hadi hotelini wanaenda wazuiwe kazi yao iwe kwenda uwanjani tu
 
Hatari wakawa wanajiachia na wachezaji kwenye makochi only god knows hujuma gani zilifanyika,kosa lisirudiwe na ile kufanya mazoezi ya wazi na hao watanzania wakawa hadi hotelini wanaenda wazuiwe kazi yao iwe kwenda uwanjani tu
Shida ya Simba hatujawahi kuwa confidential, Orlando waliingia Tz bila kelele zozote kama hawapo vile.
 
Inanibidi nicheke kwanza,πŸ˜„πŸ˜„ ukikaa vijiweni ukihadisiwa kitu uwe mdadisi mzuri na uwe well informed.

Ni mgeni yupi anayeishi Soweto? Umeandika kitu unachokijuwa au umehadithiwa ukakariri?

Sitochoka kukupa shule ya bure, Soweto ni South and west Townships, ni location kubwa ndani ya City of Johannesburg nako kuna madaraja yake kama sehemu inaitwa Orlando ni Masaki ya Soweto na ndio makazi ya masuper star weusi wazulu, hakuna wageni wanaokaa Soweto acha habari za vijiweni ni sawa na mtu akwambie Dar wahindi wanaishi Chanika, aisee utachekwa.πŸ˜„πŸ˜„
 
U
Hakuna wanahabari bongo wewee kuna majinga tu wana habari walikuwa kina majura, ulimwengu, stan katabalo unataka kuniambia priva na juma lokole ni wana habari? tena wakae nao mbali wsiguse hata nywele za wachezaji
Umejibu vema sana. Siku hizi kuna makanjanja tu hakuna wanahabari.
 

Mtu wa uchawi HAPANA!! Ila like la waandishi wa habari sawa!! Waandishi wasiwe kwenye msafara wa Simba. Waandaliwe usafiri wao na waajiri wao!! Sisi tuna afisa habari wetu anatosha!
 
Ebu mweleze uyo mkurupukaji, uwa wanajifanya mabingwa wa ulozi sasa wanakwenda kukutana na maprofesa kwenye ayo mambo na usishangae wakasafiri na lundo la waganga kwenda kupunguza idadi ya magoli
Hao waganga wao kazi Yao ni nyepedi Sana, Ni maombi katika Jina la YESU yatatowesha uchawi na mapepo yote ya kizulu!! Kwenye msafara wa Simba nendeni na timu ya watu wa maombi angalau wawili. Msiende na Sangoma!!! Ila sifa ya waombaji ni LAZIMA wawe WAMEOKOKA! YESU NI BWANA WA MAISHA YAO!!
 
Shida ni kwamba wakati mimi najaribu kaujadilana, wewe umewekeza nguvu zako kwenye kuchamba. Sina namna ya kuendelea na huu mjadala.

Wewe baki na SOUTH AFRICA yako ya kwenye vitabu vya history, na mimi nitabaki na kile nilichoshuhudia.
 
Shida ni kwamba wakati mimi najaribu kaujadilana, wewe umewekeza nguvu zako kwenye kuchamba. Sina namna ya kuendelea na huu mjadala.

Wewe baki na SOUTH AFRICA yako ya kwenye vitabu vya history, na mimi nitabaki na kile nilichoshuhudia.
Umejiabisha bure tu, siku nyingine usirudie ujinga kuangalia Dstv ndio ujifanye unaijuwa sehemu wakati hujui lolote.

Eti nilikaa Soweto hata aibu huna, hakuna wahamiaji wanaokaa soweto.
 
Wameokoka wakati na wao ndo wataalam wa ayo mambo ya ovyo
 
Soweto kuna mitaa fulani kama keko magurumbasi,ama Tandale tu tusichoshane kwa taarabu nimefika mwaka 2016-2017,labda kuna mabadiliko yametokea hivi punde mtanijuza
 
Wanazidi kujipambanua huko kwenye vigazeti na vi redio vyao NARUDIA TENA WAWEKE MBALI NA WACHEZAJI WETU HUKO JO BURG KIZAZI HIKI KINACHOITWA WACHAMBUZI NI HATARI ZAIDI YA NYOKA HOVYO KABISA ukiyasikia yanavyolia kwamba Tanzania ifanikiwe kisoka utadhani yanaamnisha kumbe manafiki hadi makalioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…