ONYO: CEO Barbra maadui mtasafiri nao kwa ndege kwenda Afrika Kusini, kuweni waangalifu

Tayari timu imechelewa kutoka Dar nadhani ushauri huu umepokelewa na wanajua kila kitu.
Mungu ni mwema naiona sare tasa na sare ya magoli kwa wakati mmoja.
Mungu saidia ndoto yangu hii itimie haswaa.
Naipenda simba yangu.
 
Tayari timu imechelewa kutoka Dar nadhani ushauri huu umepokelewa na wanajua kila kitu.
Mungu ni mwema naiona sare tasa na sare ya magoli kwa wakati mmoja.
Mungu saidia ndoto yangu hii itimie haswaa.
Naipenda simba yangu.
Hio ndoto haito kaa itokee
 
Ukiijua SOUTH AFRICA vizuri huwezi kusema Soweto ni mji wa uzunguni, shida ni pale fukara anapotak kuonekana kuwa nae katembea.

Humu ni chaka kubwa sana, huwezi leta porojo hovyohovyo.
Mkuu Sandton city sio UZUNGUNI kweli?? Hivi nyie wauza ngada mnaona huko kwa Madiba mmefika peke yenu??
Jamaa kaeleza wazi kabisa kuwa Simba watafikia Sandton na kweli wamefikia hapo ambapo sio mbali na Soweto.
Soweto sio kwamba uzunguni ila hapo walipofikia Simba ni Uzunguni bhana.
 
Usibishane na wauza ngada.
 
Sijona sababu yoyote ya wewe kuniita muuza ngada, hasa ukizingatia kwamba hakuna sehemu ambayo nimekutukana.

Nimefurahi sana kuona kuwa hata wewe unakubaliana na mimi kuwa SOWETO sio uzunguni, hiyo inatosha, ngoja na mimi nikutukane sasa.

Muuza ngada ni mama yako mwenye K kama pipa la pombe...!!
 
Nimecheka saaaaaaaaaaaaaaaana, wasalimie Hillbrow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…