Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hi,

Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa.

Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu kipya kila siku wanakawaida ya kumchoka au kumkinai mwanaume chukua tahadhari wakati unapitia nyakati ngumu katika maisha yako ndio muda sahihi mwanamke anakufukuza beware my friend.

Jiipende fanya vyote lakini bakisha ghetto hata ikitokea demu ataforce baki na ghetto hata kusirisiri kuna faida.

Tunza hii ukipuuza kuna siku utakumbuka. One love men be a pillar of your own life journey.

Shukrani.

Wadiz.
 
Hi!

Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa.

Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu kipya kila siku wanakawaida ya kumchoka au kumkinai mwanaume chukua tahadhari wakati unapitia nyakati ngumu katika maisha yako ndio muda sahihi mwanamke anakufukuza beware my friend.

Jiipende fanya vyote lakini bakisha ghetto hata ikitokea demu ataforce baki na ghetto hata kusirisiri kuna faida.

Tunza hii ukipuuza kuna siku utakumbuka.

One love men be a pillar of your own life journey.

Shukrani

Wadiz.
Pole kwa yaliyokukuta kiongozi.
Usikate tamaa, hamia kwa mwingine anaweza kuwa tofauti na huyo.
 
Msiogope nenda kaishi nae ila usibweteke shiriki kwenye vtu muhimu heshima yako itabak. We unaenda kwa mwanamke unategemea afanye kila ktu. Lazima utakuja na idea ya huu uzi nawasilisha
 
Back
Top Bottom