Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

Mnacomment mambo ambayo hayana uhalisia, hapa ni kama mnakataa ila kwenye vyumba vyenu mnaishi nao tu.
 
Kuna Mwanaume anafanya hivyo? Vijana mmekuwa watu wa hovyo sana
 
Sasa unahamiaje kwa mwanamke? Mwanamke inabidi yeye ndio ahamie kwako wewe mwanaume
 
Back
Top Bottom