D Darubini Kali Member Joined Jun 14, 2012 Posts 74 Reaction score 103 Jun 9, 2023 #21 Half american said: Hakika Ni sahihi kabisa ila ndio hvyo kuna wengine hawana aibu hawaoni shida kuhamia kwa mwanamke tena kwao kabisa kwenye nyumba ya familia [emoji28] Click to expand... Yupo ndungu yangu amehamia kwa mwanamke tangu 2010 tena nyumba familia sijui kalogwa ukimshauli ni kosa.tena ofisa wa polisi dunia ngumu hii nyie
Half american said: Hakika Ni sahihi kabisa ila ndio hvyo kuna wengine hawana aibu hawaoni shida kuhamia kwa mwanamke tena kwao kabisa kwenye nyumba ya familia [emoji28] Click to expand... Yupo ndungu yangu amehamia kwa mwanamke tangu 2010 tena nyumba familia sijui kalogwa ukimshauli ni kosa.tena ofisa wa polisi dunia ngumu hii nyie
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jun 9, 2023 #22 Darubini Kali said: Yupo ndungu yangu amehamia kwa mwanamke tangu 2010 tena nyumba familia sijui kalogwa ukimshauli ni kosa.tena ofisa wa polisi dunia ngumu hii nyie Click to expand... Huyo hajiskii vibaya au ashapigwa dawa
Darubini Kali said: Yupo ndungu yangu amehamia kwa mwanamke tangu 2010 tena nyumba familia sijui kalogwa ukimshauli ni kosa.tena ofisa wa polisi dunia ngumu hii nyie Click to expand... Huyo hajiskii vibaya au ashapigwa dawa
Hyrax JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 964 Reaction score 2,675 Jun 9, 2023 #23 Mnacomment mambo ambayo hayana uhalisia, hapa ni kama mnakataa ila kwenye vyumba vyenu mnaishi nao tu.
Mnacomment mambo ambayo hayana uhalisia, hapa ni kama mnakataa ila kwenye vyumba vyenu mnaishi nao tu.
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Jun 9, 2023 #24 Kuna Mwanaume anafanya hivyo? Vijana mmekuwa watu wa hovyo sana
Lucky93 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 802 Reaction score 1,658 Jun 9, 2023 #25 Sasa unahamiaje kwa mwanamke? Mwanamke inabidi yeye ndio ahamie kwako wewe mwanaume
E EDWARD JOHN Member Joined Mar 9, 2012 Posts 83 Reaction score 183 Jun 9, 2023 #26 Mtoa mada ana Hoja, asikilizwe,