Onyo kwa Conor na muosha rungu

Ndio cashier wa bank mnakua hamna kazi mpaka muandike upuuzi kama huu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Km unataka Kiki kwa pikipiki
Mara black mara white vepe
Km unatikisa kiberiti
Iam playing no game am sorry rafki
Ukija km upepo utapepea
Ukijifanya unamapepo tunakemea
Km unataka mchezo kawashe luninga
Siku hizi hakuna mtu anataka ujinga
Ujanja wa nyani mjin utaingia king
Meli inaelea feli inazama shiling
Haraka na haraka harakat zako Za pimbi
Unataka kucheza wewe na ushike filimbi
Vitu vingine vikienda havirudi Rivas... [emoji443] [emoji443] [emoji442]
Cc
demi
Maserati
Emmyta
Mahandw

Wa kishua
 
Wazee wa intavyuu wanifurahisha utasikia wanauliza et embu tuelezee we ni nani
Muulizwa anajibu:: me Niko simple mstaarabu sipendi ugomvi ha ha ha
Intavyuu za kiwaki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…