Onyo kwa Conor na muosha rungu

Onyo kwa Conor na muosha rungu

Wazungu huwa wanasema
"A Real Soldier doesn't boast before the battle, BUT after it"
Sasa hapa ndio napata kuelewa Domo zege ni nani na gentle Ms ni kina nani, msiseme sikuwashtua.
Cc. Demi
Cc. Muosha rungu
Cc. Yajutu
Sasa Ocean Road kakojoe tu ukalale dogo subiri vyuo vifunguliwe tu, kuwa mpole.

Sent using Jamii Forums mobile app
We km huna demu kumbatia mto hizi levo ujafikia
Pambana na hali yako

Wa kishua
 
Leo nawaonya nyie mazee mnaonyatia madem wa watu mnazuga na interview, kumbe ndo Gia ya kuwatongoza kwanza interview zenyewe hamjui mnauliza maswali ya kindezi tu yaan nye darasani ndo wale wanafunz tulikuwa tuwapiga konz na mnatuchekea interview Za kishamba waachen wtt wazur hawana time na nyie washamba kwanza msela unasaund km demu mimi nimepga vidato Sita na mwaka uu natimba chuo ila we sijui wa kujiita muosha sufiria na uyo boya konor anamsumbua demi achen ushamba
Mi ndo mzee Wa mavurugu waulize God na Jose ndo wananielewa nikishawaka mahasira ndo utaacha shobokea madem Za watu kuwafanyie interview wengine sio madem zangu
Nigger iam crazy in love with my Angel's find your own girls



Wa kishua
Aliekwambia dem ni msichana ni nani
 
Ila jamaa ni mjanja sana ametaja majina ya watu waliokuwa ktk interview ya Jana akijua demi atakuja isitoshe akaweka id yake ya Connor kana conor ili kujificha apime upepo Wa mtongozo wake kwa demi kama ulikuwa Na matunda yeyote!!
Upo Connor! Unajificha ktk shamba la karanga!

DJ sepetu
We zeeero kuandika tu huwez utabongaje na madem wakali km hawa
Unahoji utafikir unatindio la ubongo
Afu acha shombo kwa madem Za watu oh ooooo

Wa kishua
 
Back
Top Bottom