G
guest-1790917349
Guest
Rudi juu hapo soma uzi ni mfupiTatizo mimi sielewi nini kinaendelea hapa kwani?
Madhara ya kutumia mafuta kwenye sex
Rudi juu hapo soma uzi ni mfupiTatizo mimi sielewi nini kinaendelea hapa kwani?
bamia kala sana lakini hamna kitu
- Mwana dada anayetumia Dawa za kisukari kwa muda mrefu: Kukosa hisia na chini kuwa kukavu ni hali ya kawaida, Hata kwenye semina za wagonjwa wa kisukari huwa wanaelemishwa jinsi gani ya kukabilian na hali hiyo.Matatizo gani mtuqmbie?
Tatizo thread imekuwa too general "Mafuta".Madhara ya kutumia mafuta kwenye sex
Mhmm nomaRudi juu hapo soma uzi ni mfupi
Madhara ya kutumia mafuta kwenye sex
Aaah okTatizo thread imekuwa too general "Mafuta".
Ila kuna aina za mafuta ambayo Madaktari hupendekeza kwa wenye shida(Changamoto za kiafya), na mafuta hayo hayana madhara.
Asante- Mwana dada anayetumia Dawa za kisukari kwa muda mrefu: Kukosa hisia na chini kuwa kukavu ni hali ya kawaida, Hata kwenye semina za wagonjwa wa kisukari huwa wanaelemishwa jinsi gani ya kukabilian na hali hiyo.
Ndo yanaitwsje hayo safe?Kila jambo hua lina risk zake,
Mafuta husababisha muwasho irritation,pia hudisrupt vagina Flora na kuongeza risk ya infection or bacteria vaginosis,pia ni ngumu kusafisha ili uyatoa hayo mafuta,
mafuta ambayo ni safe zaidi tumia water based or Silicone based lubricants.
🤣🤣🤣🤣Watumia mafuta........
View attachment 3535964
Wakipita kimya kimya kuokota mawili matatu ili wajue kama wakaache au waendelee!
Mafuta gani Mkuu?!Wakati matumizi ya mafuta yakiwa maarufu kwa wengi kama kilainishi wakati wa kujamiiana, wataalamu wa afya wameonya kuwa yanaweza kuleta madhara makubwa kwa afya ya mwanamke, ikiwamo kuharibu kinga asilia ya uke na kuongeza hatari ya maambukizi.
View attachment 3535944
Ule uchafu unanuka vibaya hatari🚮🚮Vipi na yale mafuta ya kondom?
Nanihii zenyewe zimeota sugu kutokana na shuruba nyingiWakati matumizi ya mafuta yakiwa maarufu kwa wengi kama kilainishi wakati wa kujamiiana, wataalamu wa afya wameonya kuwa yanaweza kuleta madhara makubwa kwa afya ya mwanamke, ikiwamo kuharibu kinga asilia ya uke na kuongeza hatari ya maambukizi.
View attachment 3535944
Kuna wanawake wanatatizo la kuwa na uke mkavu ndio maana wanatumia kilainishiUkiona mnatumia mafuta kwenye tendo,ujue kua mnafanya tu ila hakuna mwenye feeling na mwenzake,
Ni sawa na kuwasha Gari kwa kulisukuma.
Madogo wa 2000 hawaogopi UKIMWI wao ni kuteleza tu kama kambaleMafuta ni muhimu sana.... kuna wanawake wameumbwa tu ni wakavu .......
Kuna wale wazee hawaogopi ngoma, anampima mwanamke kwa jicho tu anakuambia tumia wese jingi...inatelezamo tu 😃 😀