G
guest-1790917349
Guest
Mwambie annual bamiabamia kala sana lakini hamna kitu
Achukue 5 akatekate awake kwenye maji masafi ya kunywa lita 1 ,azuache kuanzia 8 hrs
Au anaweza akaweka jioni halafu asubuhi akanywa kabla hajala kitu
Glass 1 tu ...
Nyingine mchana , anamalizia usiku kabla hajalala
Kwa anaeanza atumie siku 7 tu ....
Then anakuwa anakunywa mara 3 kwa wiki later...
Haiwezekani abaki kawaida