Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Potelea mbali! Sisi wanaume yanasaidia sana kutopata michubuko.Wakati matumizi ya mafuta yakiwa maarufu kwa wengi kama kilainishi wakati wa kujamiiana, wataalamu wa afya wameonya kuwa yanaweza kuleta madhara makubwa kwa afya ya mwanamke, ikiwamo kuharibu kinga asilia ya uke na kuongeza hatari ya maambukizi.
View attachment 3535944