Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

Huu uzi asipokuja Binti wa zamani nitashangaa sana.

binti kiziwi una maoni gani hapa?
Haya nimekuja 😂 Mafuta siyo poa, watu watumie proper lube hasa kwenye kuchezea na kusugua kiharage, kama mikono yako si milaini, mbususu itajitengenezea utelezi wake yenyewe.

Na kama mnadinyana kwa muda mrefu au mnaunganisha rounds, basi mtumie pia lube kwa sababu ule ute wa K (ukishachanganyika na tui au squirts) unabadilika consistency na kupungua kuteleza!
 
Ukiona mnatumia mafuta kwenye tendo, ujue kua mnafanya tu ila hakuna mwenye feeling na mwenzake.

Ni sawa na kuwasha Gari kwa kulisukuma.

Ni kweli.
Mwanamke akiwa na hisia na wewe, na mwili wake unaafya nzuri, uke unatoa natural Lubricant

Na kama hatoi hiyo inamaanisha hata kumkojoza haitawezekana. Zaidi utakuwa unamuumiza na kufanya achukie tendo
 
Mambo ya mitandaoni sio ya kuchukulia serious...
Kuna mdau ana vidonda vya tumbo baada ya kufata lishe ya mtandaoni...
Watu wametumia mafuta miaka na miaka na wanapeta tu...pengine ata mtoa mada alipatikana kwa style ya kupakwa wese
 
Watu wanafurahisha sana. Hivi kweli cku hizi kuna mbususu isiyopokea mtulinga hata kama ni size ya chimney ya jiko la bati
 
Au wameona vilanishi vyao haviishi kwenye maduka yao?
 
Back
Top Bottom