Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Wazo zurii ziki wekwa kwenye vifuko vidogo vidogo Umefanya nicheke😂 😆Washaurini watuwekee kwenye pakti ndogo kama kondomu.
Hizi unatembeaje nazo sasa.? Wananiudhi sana na hii michupa yao.
Kuna zile za surgery nadhani, ingawa sizioni sijui walipiga marufuku uzalishaji.
any way wewe unasemea KY GELL ZIPO ZINAPATIKANA MKUU.