Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

Mkuu kwa comment yako hii umekubaliana na mimi tayari,
Hizo sababu ulizoziweka ndio zinafanya huyo Mwanamke asiwe na feeling na wewe au asiwe na feeling ya tendo coz akili yake inakua kwenye mambo mengine wakati huo,

Mwili hupokea amri kutoka kwenye brain ili kuuandaa na jambo fulani,ila kama brain inawaza mengine,basi mwili unakaua unakosa kiongozi.
Swadaktaaaa!!!
 
Bt why?
Km hana huo utelezi muache manaake hayuko sawa
Jmn wanawake tuna fluid ya kutosha kabisa tatizo mnawa turn off kwa matendo yenu

Sisi wadada ukipendwa vzr yaani sms tu anakuta uko wet kitambo

Lkn ushauri mwambie atumie juice ya bamia dadeki utakuja kunishukuru
😂😂😂😂😂😂
 
Zipo brands nyingi tu,ukienda Pharmacy utazipata,ila sina uhakika kama huko utapata brand zote,

Hizi ni baadhi ya Brands,

Lube life,Astroglide,Sliquid,K-Y,Good Clean Love,Passion Lube,Swiss Navy,Aloe Cadabra,Turn On.
Nyingi ulizozitaja, pharmacy za Bongo hawauzi, na Wakiuza wanapiga bei juu, afu wanafanya km magendo.

Ila kuna sehemu 1 iko mikocheni ndo kuna kila aina ya based lubs, hadi oil fluids.
 
Mafuta kwenye kugegedana tena, ile si inatoa kilainishi yenyewe!?
Labda wazee wa michezo ya ki amber rutty ndio wanatumia mafuta..
Hyku mafuta noo, ukiichapa sana ikiwa kavu kavu we hujamaliza, unaipiga denda kidogo, unarudisha mjegeje ndani.

Akiiosha na maji, mate ni rahisi kutoka, tofauti na wese
Naibu waziri wa mapenzi
 
Back
Top Bottom