Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

Kila jambo hua lina risk zake,

Mafuta husababisha muwasho irritation,pia hudisrupt vagina Flora na kuongeza risk ya infection or bacteria vaginosis,pia ni ngumu kusafisha ili uyatoa hayo mafuta,
mafuta ambayo ni safe zaidi tumia water based or Silicone based lubricants.
 
Mafuta gani Mkuu?!
 
Nanihii zenyewe zimeota sugu kutokana na shuruba nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…