Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

Ukiangalia Mataifa karibu yote hayo yana Uhusiano na nchi hizo zote na si moja pekee...Hivyo ni vyema ku balance Uhusiano kwa pande zote na Ushiriki sawa bila mfungamano, ukiona hadi hawa jamaa wamezungumza ujue...kuna conflict of interests ambazo tunatakiwa kujiepusha nazo na si suala la Udini kabisa hapa.
 

Umewahi jiuliza kwanini saudi Arabia, UAE,Egypt, Jordan, Morocco Tunisia wanauhusiano mzuri zaidi na Israel tena siyo wa kiuchumi Tu bali nakiulinzi pia.
Mwalimu Nyerere was not an Angel. Pia nyakati na mazingira yanabadilika sana kwa baadhi ya mambo.
Pia rejea hakuna adui wa asili au kudumu.
 
Preparation for a propaganda!!

Has it anything to do with Mo's abduction??

GT in JF are 1000 miles away!

To formulate such a propaganda you need to be a million miles smarter on which you ain't even 0.00001 miles!!
 
Preparation for a propaganda!!

Has it anything to do with Mo's abduction??

GT in JF are 1000 miles away!

To formulate such a propaganda you need to be a million miles smarter on which you ain't even 0.00001 miles!!
do you mean The Citizens Paper are the Propaganda Cooks? they are one who reported it.
 

Ni mataifa mangapi yenye uhusiano na Israel yalishakumbwa na dhahama.?!? Kwanini iwe Tz!?
 
Palestina na Arabic world hawana ubavu wa kutuvuruga kwa namna yoyote ile.Kama mataifa tu yenyewe ya kiarabu hayana mahusiano mazuri,yanagombana yenyewe kwa yenyewe,je?watapata wapi muda wa kutushurutisha?Wangeungana wao kwa wao ingekuwa rahis ila sasa hata Iran hawezi kustruggle na sisi.
 
🙂
 
Sentensi yako ya mwisho inasema "Ila sometimes inabidi Tujifunze na kukubali kutokubaliana"

Inavyoonekana ni kama ww hutaki kukubali mweleko wa sasa juu ya mahusiano na Israel.

Kila upande una hoja na sababu zake lakini kama nchi imeona kuna manufaaa na faida pia kuwa na mahusiano/ushirikiano na Israel, nadhani inabidi utembee kwenye ushauri wako (as quoted above).
 
Kumbe kama nchi tulitakiwa tufanyeje mkuu!?
Mambo yao hayatuhusu na sisi kama Taifa huru tuna uwezo wa kuchagua tushirikiane na nani kwa faida ya Taifa letu na sio kuangalia maslahi ya nchi nyingine.

Kama Nchi na kama Chama tunavyoimba kumuenzi Julius Kambarage Nyerere tulifaa kubakia kwenye mstari wa Msimamo wa Mwalimu kuhusiana na Sera zetu dhidi ya Israel
 
Hujuulizi hathari hawa jirani tuu Burundi ,Somalia na South Sudan au hujui na kama hujui unajuaje na kuona mbali kote huko Israel kibanzi wakati Boroti liko kwenye jicho lako !!?? Achilie mbali Israel wanatupa misaada kuliko hawa boriti tunaogawana nao umasikini !!! Kijana wacha unafki fanya kazi .hizi siasa za kujipendekeza kwa Warab zimeshapitwa na wakati .waarabu wameishiwa hela za kufadhili wapambe
 
Kumbe kama nchi tulitakiwa tufanyeje mkuu!?
Mambo yao hayatuhusu na sisi kama Taifa huru tuna uwezo wa kuchagua tushirikiane na nani kwa faida ya Taifa letu na sio kuangalia maslahi ya nchi nyingine.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kwa kifupi achana na siasa za waarabu imeshajulikana dunia kote siasa za waarabu azijawahi kufanikiwa zaidi sana ni walikuwa wamelewa pesa za mafuta .petrodollars .sasa hivi mafuta yamegundulika nchi nyingi zaidi duniani .mafuta bei chini ulevi umeendelea ukiisha sasa wengi ni hangover ndio wanayo na wachache wako sobber sasa hivi mfano Saudi Arabia nadhani unajua mabadiliko makubwa yanayoendelea huko hivi sasa baada ya kuzinduka ulevini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
😀😀😀
 
Hawana jipya na Hakuna cha kupoteza kelele za chura
 
MKUU tuliwahi kuwabackup weusi wa SA,tukawapa na base, mafunzo, chakula na kila kitu lkn hata miaka 30 haijapita leo hii wanatuona wa ajabu hata miaka 50 haijapita tokea wapate uhuru mkuu
 
Wangefanikiwa kwanza kuionya Hamas ,Misri,Syria alafu labda ndio waje kutuonya Tanzania .hii dharau ya waarabu kwa Africa bado aijaisha .wanaamini krimu ya waafrika bora na wenye akili walishaiuza utumwani majuu tuliobaki ni walevi wa chimpumu,mbege,madadii ,denge na gongo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Preparation for a propaganda!!

Has it anything to do with Mo's abduction??

GT in JF are 1000 miles away!

To formulate such a propaganda you need to be a million miles smarter on which you ain't even 0.00001 miles!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Aise kuna ajabu kwenye huu mjadala au ni mleta mada ananuksi.maana ni ajabu .wachangiaji wote wameweka uchama,udini pembeni .ni Utanzania ndio kiupaumbele full stop mengineyo yamefekilewa mbali.Duuuh sikujua kama Tanzania bado tuko wamoja hivi.Mungu bariki Tanzania na watu wake.Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…