Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

"Huwezi kujifanya mkatoliki kuliko Pope". Hayo ni maneno ya hekima yaliyowahi kutamkwa na baba wa taifa mwalimu jkn. Angalia nchi za kiarabu zinavyozidi kujisogeza kwa israel, misri, jordan, tunisia, morocco saudia nk. Sasa iwejwe sisi wa mbali tuguswena matatizo ya waarabu kuliko waarabu wenyewe? Labda kama una sababu za udini
Ukiangalia Mataifa karibu yote hayo yana Uhusiano na nchi hizo zote na si moja pekee...Hivyo ni vyema ku balance Uhusiano kwa pande zote na Ushiriki sawa bila mfungamano, ukiona hadi hawa jamaa wamezungumza ujue...kuna conflict of interests ambazo tunatakiwa kujiepusha nazo na si suala la Udini kabisa hapa.
 
Tumia Muda wako kusoma hii kabla hujakurupuka ku comment (Take your time) na huu ni mjadala huru uko sawa kutoa maoni yoyote baada ya hapo. Tanzania’s Shift towards Israel reveals how Tanzania has moved away from the policies of its founding father, the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ila sometimes inabidi Tujifunze na kukubali kutokubaliana.

Umewahi jiuliza kwanini saudi Arabia, UAE,Egypt, Jordan, Morocco Tunisia wanauhusiano mzuri zaidi na Israel tena siyo wa kiuchumi Tu bali nakiulinzi pia.
Mwalimu Nyerere was not an Angel. Pia nyakati na mazingira yanabadilika sana kwa baadhi ya mambo.
Pia rejea hakuna adui wa asili au kudumu.
 
Preparation for a propaganda!!

Has it anything to do with Mo's abduction??

GT in JF are 1000 miles away!

To formulate such a propaganda you need to be a million miles smarter on which you ain't even 0.00001 miles!!
 
do you mean The Citizens Paper are the Propaganda Cooks? they are one who reported it.
 
Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa Onyo la Kistaarabu Kidplomasia dhidi ya kuwa makini na Uhusiano na Israel..Binafsi naona kama tusipotilia Maanani na kupuuza hili kama tunavyopunguza Uzito wa Watu Wasiojulikana tusije kushangaa kujikuta Tanzania tukiandamwa na Majanga ya Kiusalama kutoka kwa Hawa Jamaa kama Malipo ya Ufinyu wa Hekima na Maamuzi yetu.

KABLA YA KUCHANGIA JAZA HEKIMA KWANZA KUPITIA Link Hii Why is Tanzania’s shift towards Israel wrong?

Nakumbuka niliwahi kuzungumzia hili kwenye thread hii Urafiki Tata: TZ, KE & nchi za Afrika Mashariki na sapoti ya Kuhama kwa Ubalozi wa Marekani Jerusalem

pamoja na Kuchangia Hoja sawa kwenye Post ya Pakawa Wakati Tanzania tunapeleka balozi Israel, South Afrika tuliowasaidia na ukandamizwaji wanamwondoa balozi wao

Source: The citizen
View attachment 901652

Ni mataifa mangapi yenye uhusiano na Israel yalishakumbwa na dhahama.?!? Kwanini iwe Tz!?
 
Palestina na Arabic world hawana ubavu wa kutuvuruga kwa namna yoyote ile.Kama mataifa tu yenyewe ya kiarabu hayana mahusiano mazuri,yanagombana yenyewe kwa yenyewe,je?watapata wapi muda wa kutushurutisha?Wangeungana wao kwa wao ingekuwa rahis ila sasa hata Iran hawezi kustruggle na sisi.
 
🙂
 
Tumia Muda wako kusoma hii kabla hujakurupuka ku comment (Take your time) na huu ni mjadala huru uko sawa kutoa maoni yoyote baada ya hapo. Tanzania’s Shift towards Israel reveals how Tanzania has moved away from the policies of its founding father, the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ila sometimes inabidi Tujifunze na kukubali kutokubaliana.
Sentensi yako ya mwisho inasema "Ila sometimes inabidi Tujifunze na kukubali kutokubaliana"

Inavyoonekana ni kama ww hutaki kukubali mweleko wa sasa juu ya mahusiano na Israel.

Kila upande una hoja na sababu zake lakini kama nchi imeona kuna manufaaa na faida pia kuwa na mahusiano/ushirikiano na Israel, nadhani inabidi utembee kwenye ushauri wako (as quoted above).
 
Kumbe kama nchi tulitakiwa tufanyeje mkuu!?
Mambo yao hayatuhusu na sisi kama Taifa huru tuna uwezo wa kuchagua tushirikiane na nani kwa faida ya Taifa letu na sio kuangalia maslahi ya nchi nyingine.

Kama Nchi na kama Chama tunavyoimba kumuenzi Julius Kambarage Nyerere tulifaa kubakia kwenye mstari wa Msimamo wa Mwalimu kuhusiana na Sera zetu dhidi ya Israel
 
Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa Onyo la Kistaarabu Kidplomasia dhidi ya kuwa makini na Uhusiano na Israel..Binafsi naona kama tusipotilia Maanani na kupuuza hili kama tunavyopunguza Uzito wa Watu Wasiojulikana tusije kushangaa kujikuta Tanzania tukiandamwa na Majanga ya Kiusalama kutoka kwa Hawa Jamaa kama Malipo ya Ufinyu wa Hekima na Maamuzi yetu.

KABLA YA KUCHANGIA JAZA HEKIMA KWANZA KUPITIA Link Hii Why is Tanzania’s shift towards Israel wrong?

Nakumbuka niliwahi kuzungumzia hili kwenye thread hii Urafiki Tata: TZ, KE & nchi za Afrika Mashariki na sapoti ya Kuhama kwa Ubalozi wa Marekani Jerusalem

pamoja na Kuchangia Hoja sawa kwenye Post ya Pakawa Wakati Tanzania tunapeleka balozi Israel, South Afrika tuliowasaidia na ukandamizwaji wanamwondoa balozi wao

Source: The citizen
View attachment 901652
Hujuulizi hathari hawa jirani tuu Burundi ,Somalia na South Sudan au hujui na kama hujui unajuaje na kuona mbali kote huko Israel kibanzi wakati Boroti liko kwenye jicho lako !!?? Achilie mbali Israel wanatupa misaada kuliko hawa boriti tunaogawana nao umasikini !!! Kijana wacha unafki fanya kazi .hizi siasa za kujipendekeza kwa Warab zimeshapitwa na wakati .waarabu wameishiwa hela za kufadhili wapambe
 
Kumbe kama nchi tulitakiwa tufanyeje mkuu!?
Mambo yao hayatuhusu na sisi kama Taifa huru tuna uwezo wa kuchagua tushirikiane na nani kwa faida ya Taifa letu na sio kuangalia maslahi ya nchi nyingine.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Ninachomaanisha ni kuwa Bado hatujachelewa kutafakari upya mahusiano yetu na baadhi ya nchi kuangalia manufaa na hasara, pamoja na kutokuwa na mikataba ya ushirikiano kiuchumi, kiusalama na hata kisiasa na nchi zote zenye migogoro ili kuepusha ka nchi ketu kutumbukia kwenye migogoro...hapa tuangalie pia mipango endelevu ya miaka kadhaa mbele na si nyakati za usoni tu.Pitia pia hii link ili tuje na mjadala jengefu
Tanzania and the Palestinian Struggle
Kwa kifupi achana na siasa za waarabu imeshajulikana dunia kote siasa za waarabu azijawahi kufanikiwa zaidi sana ni walikuwa wamelewa pesa za mafuta .petrodollars .sasa hivi mafuta yamegundulika nchi nyingi zaidi duniani .mafuta bei chini ulevi umeendelea ukiisha sasa wengi ni hangover ndio wanayo na wachache wako sobber sasa hivi mfano Saudi Arabia nadhani unajua mabadiliko makubwa yanayoendelea huko hivi sasa baada ya kuzinduka ulevini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hujuulizi hathari hawa jirani tuu Burundi ,Somalia na South Sudan au hujui na kama hujui unajuaje na kuona mbali kote huko Israel kibanzi wakati Boroti liko kwenye jicho lako !!?? Achilie mbali Israel wanatupa misaada kuliko hawa boriti tunaogawana nao umasikini !!! Kijana wacha unafki fanya kazi .hizi siasa za kujipendekeza kwa Warab zimeshapitwa na wakati .waarabu wameishiwa hela za kufadhili wapambe
😀😀😀
 
Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa Onyo la Kistaarabu Kidplomasia dhidi ya kuwa makini na Uhusiano na Israel..Binafsi naona kama tusipotilia Maanani na kupuuza hili kama tunavyopunguza Uzito wa Watu Wasiojulikana tusije kushangaa kujikuta Tanzania tukiandamwa na Majanga ya Kiusalama kutoka kwa Hawa Jamaa kama Malipo ya Ufinyu wa Hekima na Maamuzi yetu.

KABLA YA KUCHANGIA JAZA HEKIMA KWANZA KUPITIA Link Hii Why is Tanzania’s shift towards Israel wrong?

Nakumbuka niliwahi kuzungumzia hili kwenye thread hii Urafiki Tata: TZ, KE & nchi za Afrika Mashariki na sapoti ya Kuhama kwa Ubalozi wa Marekani Jerusalem

pamoja na Kuchangia Hoja sawa kwenye Post ya Pakawa Wakati Tanzania tunapeleka balozi Israel, South Afrika tuliowasaidia na ukandamizwaji wanamwondoa balozi wao

Source: The citizen
View attachment 901652

======

Dar es Salaam. Palestine and Israel have been at loggerheads for many years now, ever since the Israel nation was established after the Second World War. Apparently, this tension has for many decades left many nations across the globe in a diplomatic crossroads.
But also, many key diplomatic partners like Tanzania have been supporting Palestine in fighting for its independence. As a result, Tanzania severed diplomatic relations with Israel in 1973 following the Yom Kippur war.

Relations were restored in 1995, albeit through Nairobi in Kenya.
Yet again, Tanzania seemed to have touched a raw nerve when Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation minister Augustine Mahiga officiated the opening of the Tanzanian Embassy in Tel Aviv, Israel, on May 8 this year, appealing to Israel to do the same in Tanzania.

That did not augur well with the Palestinians. Now, the new ambassador of the State of Palestine to Tanzania, Hamdi Mansour Abuali, has spoken out on the matter, warning Dar es Salaam to tread carefully on its diplomatic ties with Israel:

Palestine and Tanzania have had diplomatic relations for so long, but now Tanzania has re-established ties with Israel, your foe. What is your take on this?
Relations between Palestine and Tanzania are what we care about. Our partnership is not new; it’s old. What is new is the relationship between Tanzania and Israel. All we hope for is that this is for the good of Tanzanians. Unfortunately, we’ve learned from experience that Israel does not respect agreements in a relationship.

The Israelis have had a lot of agreements with us, on so many issues. But they (the agreements) have not been for the benefit of both parties. Israel always falls short when it comes to implementing agreements.

Can you elaborate on some of the agreements that Israel backtracked on?
In negotiating with Israel we tried to bring in the Americans, Russians and the United Nations to help with the process, because we believe that the struggle for our independence can be executed in a moderate way.

But what we have had to experience is totally different. We agreed with Israel in the 1960s, for example, that Jerusalem will be the capital of Palestine. After sometime, Israel changed. And they don’t want the UN-recognised borders.

Despite agreeing with Israel on restrictions of the movement of Palestinians, some areas are still confined by fences and a gate in the whole city. You need permission to go to school; and there are schools separated by the wall where students cannot access unless they climb the fence or ask for permission.
Israel cannot allow people to dig a well or build a factory or to expand. The majority of the Palestinian land in the West Bank has fallen into the hands of Israelites, and surrounded by soldiers -- you can’t walk freely.

Coming back to the Tanzania-Palestine relations, is there an initiative to convince your people to invest in this country? Or any plan to have Tanzanian investors in Palestine?
As you know, Israel has taken away land from Palestinians, such that our people can’t produce.
So, Palestinians are expanding by looking for areas where we can cooperate economically. Already, we have Palestinian investors in Tanzania. But we don’t have any investment agreement here yet.
Nevertheless, we have many investors on the ground in the areas of agribusiness, and we are looking to expanding to large scale.

What initiatives are in place for tourism, considering that both Tanzania and your country have a lot of tourist attractions?
Our Tourism minister visited Zanzibar and signed an agreement with the government to facilitate the flow of Palestinians to Tanzania. At the same time, we have agreements on how Tanzanians can visit Palestine. This agreement works for both sides.
We have been discussing and the agreement has been signed. In the near future we will start to see implementation.

That is Zanzibar, what about tourism in the Mainland?
I take this opportunity to welcome Tanzanians to visit Palestine, and especially the Holy Land and Jerusalem. I encourage Christians and non-Christians to come too. You can visit all historical sites from Palestine.
Palestinian envoy warns Tanzania on Israel
Hawana jipya na Hakuna cha kupoteza kelele za chura
 
MKUU tuliwahi kuwabackup weusi wa SA,tukawapa na base, mafunzo, chakula na kila kitu lkn hata miaka 30 haijapita leo hii wanatuona wa ajabu hata miaka 50 haijapita tokea wapate uhuru mkuu
 
Acha unaa! Yaani Palestine ituonye sisi kuwa na diplomatic relations na nchi fulani?
Pia na somalia nao pamoja na Afghanistan watatuonya pia bila kusahau Yemen. Napenyewe utakuja na bandiko la kuwaunga mkono.PUMBAVU KABISA. IMANI NA UOGA WAKO USITUFANYE TUKASHINDWA KUFANYA MAMBO YETU KAMA TAIFA HURU.
Wangefanikiwa kwanza kuionya Hamas ,Misri,Syria alafu labda ndio waje kutuonya Tanzania .hii dharau ya waarabu kwa Africa bado aijaisha .wanaamini krimu ya waafrika bora na wenye akili walishaiuza utumwani majuu tuliobaki ni walevi wa chimpumu,mbege,madadii ,denge na gongo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Preparation for a propaganda!!

Has it anything to do with Mo's abduction??

GT in JF are 1000 miles away!

To formulate such a propaganda you need to be a million miles smarter on which you ain't even 0.00001 miles!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Aise kuna ajabu kwenye huu mjadala au ni mleta mada ananuksi.maana ni ajabu .wachangiaji wote wameweka uchama,udini pembeni .ni Utanzania ndio kiupaumbele full stop mengineyo yamefekilewa mbali.Duuuh sikujua kama Tanzania bado tuko wamoja hivi.Mungu bariki Tanzania na watu wake.Amina
 
Back
Top Bottom