wewe utakua na shida ya akili (ninavyohisi)Kwa mada zako vile hata mimi huwa ninakupa dislike sana.
Ila kwenye posts zangu sitaki likes
Huyu hatuwezi kumuwahi tena,tumesha chelewa.Unajua nini Jf tusaidieni kutufanyia counseling tunatekea member wenu