Makanisa ya Walokole yanamirikiwa na hao maaskofu hata usajiri wake ni wa individual siyo kama KKKT, RC, Anglican, AIC n.k. Hivyo kanisa la Ufufuo ni mali ya Josephat Gwajima na wala si waumini.Chezea vitu vyooote, ila usichezee haki ya kikatiba ya kuabudu. kama padre mmoja amefanya kosa, ashughulikiwe yeye, lisishughulikiwe katholic lote na makanisa yake nchi nzima, kama TAG au lutheran kuna mchungaji au hata mkuu wao amekosea, mshughulikieni yeye, waumini wake hawana kosa kwa sababu hawamwabudu yeye, wanamwabudu Mungu, kufunga makanisa yote ya kundi hilo wakati mkosaji ni mmoja tu, waumini wana kosa gani sasa? waumini wakasali wapi sasa? kwanini waumini wanaadhibiwa kwa kosa la mtu mmoja? muumini aliyeop mwanza hajawahi hata kufika dsm anaadhibiwaje kwa kuambiwa asisali kwenye kanisa lake kwa sababu kiongozi wake aliyepo dsm amekosea? kwanini usiadhibu mtu binafsi badala yake unaadhibu hata innocent na kunyima watu haki ya kuabudu?
tangu lini nchi hii imeanza kufuta usajili wa makanisa? je, kutakuwa na kushughulikia misikiti pia? naomba isiwe hivyo, kama kuna shehe mmoja amekosea ashughulikiwe yeye wasiumizwe na waumini/members wake, natural justice ipo wapi kwamba mimi niadhibiwe kwa kosa la mtu mwingine? ninyimwe kuabudu kwa sababu muumini au askofu wangu amefanya kosa? kwanini msishughulike na askofu wangu mkaumiza sisi waumini tusio na kosa?
hiyo ni akili potofu, ndio swali hilo utakuja uulize kama makanisa yapo kwa nini yasipige maombi shetani afe;Kama na makanisa wana amini Mungu ni muweza wa yote kwa nini
Wasipige sala watu waachwe kutekwa ? Waache vidomo kupitia hizo madhabau zao?
Kanisa kama la gwajima, lina maaskofu wengi, na matawi zaidi ya 2000 utasemaje linamilikiwa na mtu? waganga wa kienyeji wanapewa leseni ila wale wanaoabudu wanafutiwa. kama gwajima amekosea, kwanini waumini wake nao wazuiwe kuabudu? makanisa mbeya wameshayafunga 6 meaning waumini wa kanisa hilo mbeya wamenyimwa kuabudu kwa sababu tu ya kosa la mtu mmoja aliyepo dsm. kiukweli, hiyo sio haki hata wanaobisha wanajua.Makanisa ya Walokole yanamirikiwa na hao maaskofu hata usajiri wake ni wa individual siyo kama KKKT, RC, Anglican, AIC n.k. Hivyo kanisa la Ufufuo ni mali ya Josephat Gwajima na wala si waumini.
shida ni kwamba, kuabudu ni haki ndani ya katiba, hata wangeabudu mti, katiba inaruhusu, wewe huna haki kuchagulia wengine wasali wapi au wasali au wasisali kwa sababu hata hiyo imani yako unayoiamini wapo ambao wanakuona umepotea kama vile tu wewe unavyowaona walokole wamepotea, ndio maana kwa sababu kila mmoja anamwona mwenzake amepotea akivutia upande wake, basi katiba ikasema uhuru wa kuabudu uwepo. serikali iwe makini isije kueleweka vibaya kuwa inashughulikia wakristo, au hata ninyi wakristo wengine mkiamua kuungana na serikali basi isionekane walokole wanakuwa targeted, kwa sababu nao ni raia kama wewe, wana haki ya kuabudu wanachokiabudu kama wewe, nao ni watanzania. amekosea gwajima, shugulikieni gwajima, aacheni waumini wake wasio na hatia wapate haki yao ya kuabudu. au la subirini Mkono wa Mungu, atajibu hakika.Makanisa ya Walokole yanamirikiwa na hao maaskofu hata usajiri wake ni wa individual siyo kama KKKT, RC, Anglican, AIC n.k. Hivyo kanisa la Ufufuo ni mali ya Josephat Gwajima na wala si waumini.
Chezea vitu vyooote, ila usichezee haki ya kikatiba ya kuabudu. kama padre mmoja amefanya kosa, ashughulikiwe yeye, lisishughulikiwe katholic lote na makanisa yake nchi nzima, kama TAG au lutheran kuna mchungaji au hata mkuu wao amekosea, mshughulikieni yeye, waumini wake hawana kosa kwa sababu hawamwabudu yeye, wanamwabudu Mungu, kufunga makanisa yote ya kundi hilo wakati mkosaji ni mmoja tu, waumini wana kosa gani sasa?
Waumini wakasali wapi sasa? kwanini waumini wanaadhibiwa kwa kosa la mtu mmoja? muumini aliyeop mwanza hajawahi hata kufika dsm anaadhibiwaje kwa kuambiwa asisali kwenye kanisa lake kwa sababu kiongozi wake aliyepo dsm amekosea? kwanini usiadhibu mtu binafsi badala yake unaadhibu hata innocent na kunyima watu haki ya kuabudu?
Tangu lini nchi hii imeanza kufuta usajili wa makanisa? je, kutakuwa na kushughulikia misikiti pia? naomba isiwe hivyo, kama kuna shehe mmoja amekosea ashughulikiwe yeye wasiumizwe na waumini/members wake, natural justice ipo wapi kwamba mimi niadhibiwe kwa kosa la mtu mwingine? ninyimwe kuabudu kwa sababu muumini au askofu wangu amefanya kosa? kwanini msishughulike na askofu wangu mkaumiza sisi waumini tusio na kosa?
unafunga kanisa na matawi yake 2000 kwa sababu mtu kakemea utekaji na uuaji. basi tuseme alikosea,
je, unaweza kung'oa meno yoote mdomoni kwa sababu moja tu ndio linauma? haki ya meno mengine yasiyouma ipo wapi?
unaweza kufunga msikiti na matawi yake yote kwa sababu shehe mkuu kafanya kosa? wale waumini ambao hata hawakusema kitu haki yao ya kuabudu unaiweka wapi?
unaweza kuadhibu mtu asiye na kosa kwa sababu kiongozi wake kakosea? umegombana na baba wa familia halafu unaanza kupiga watoto wake pamoja naye hao wamekosa nini?
kama gwajima kakosea shughulikeni nae ila kuzuia na makanisa/waumini vituo 2000 wasiabudu kwenye majengo waliyojijengea wala serikali haikutia mkono pale ni kunyima watu haki ya kuabudu na ni dhambi.
Tuulinde uhuru wetu wa kuabudu kwa nguvu zetu zote.
Makanisa ya Walokole yanamirikiwa na hao maaskofu hata usajiri wake ni wa individual siyo kama KKKT, RC, Anglican, AIC n.k. Hivyo kanisa la Ufufuo ni mali ya Josephat Gwajima na wala si waumini.
kwa kifupi ni kwamba,kuna mtu kakaa paleee, uwa haupendi ukristo na ameamua kuushambulia, kuzuia makanisa 2000 nchi nzima wasisali kwa sababu mtu mmoja tu dsm amefanya kosa. halafu, ni aibu kubwa sana kwamba mtumishi wa Mungu anayekemea utekaji uuaji na maovu anaambiwa anagombanisha raia na serikali, kumbe serikali ndio inafanya hayo? hawa watu hawamwogopi Mungu kabisa na hawataki watu wahubiri mema.Kuteka, Kuua, Kubaka na Kulawiti Kibiblia ni Dhambi. Kama Makanisa yanafungiwa wa kukemea dhambi basi Ukristo Umeshambuliwa na upo hatarini Tanzania
Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi. Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania. Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...www.jamiiforums.com
Si unawateteaga ccm humu tetea na Hilo. Kwa taharifa yako hata Yesu arudi Leo akemee hawa wauwaji watekaji na watesaji watampiga risasiChezea vitu vyooote, ila usichezee haki ya kikatiba ya kuabudu. kama padre mmoja amefanya kosa, ashughulikiwe yeye, lisishughulikiwe katholic lote na makanisa yake nchi nzima, kama TAG au lutheran kuna mchungaji au hata mkuu wao amekosea, mshughulikieni yeye, waumini wake hawana kosa kwa sababu hawamwabudu yeye, wanamwabudu Mungu, kufunga makanisa yote ya kundi hilo wakati mkosaji ni mmoja tu, waumini wana kosa gani sasa?
Waumini wakasali wapi sasa? kwanini waumini wanaadhibiwa kwa kosa la mtu mmoja? muumini aliyeop mwanza hajawahi hata kufika dsm anaadhibiwaje kwa kuambiwa asisali kwenye kanisa lake kwa sababu kiongozi wake aliyepo dsm amekosea? kwanini usiadhibu mtu binafsi badala yake unaadhibu hata innocent na kunyima watu haki ya kuabudu?
Tangu lini nchi hii imeanza kufuta usajili wa makanisa? je, kutakuwa na kushughulikia misikiti pia? naomba isiwe hivyo, kama kuna shehe mmoja amekosea ashughulikiwe yeye wasiumizwe na waumini/members wake, natural justice ipo wapi kwamba mimi niadhibiwe kwa kosa la mtu mwingine? ninyimwe kuabudu kwa sababu muumini au askofu wangu amefanya kosa? kwanini msishughulike na askofu wangu mkaumiza sisi waumini tusio na kosa?