Hilo kanisa ni la Gwajima, amesajiri yeye mwenyewe, wewe pia unaweza kusajiri kanisa lako mkuu. Mbona kuna makanisa mengi tu yalishafutiwa usajiri? Yapo ya Wakongo n.k.Kanisa kama la gwajima, lina maaskofu wengi, na matawi zaidi ya 2000 utasemaje linamilikiwa na mtu? waganga wa kienyeji wanapewa leseni ila wale wanaoabudu wanafutiwa. kama gwajima amekosea, kwanini waumini wake nao wazuiwe kuabudu? makanisa mbeya wameshayafunga 6 meaning waumini wa kanisa hilo mbeya wamenyimwa kuabudu kwa sababu tu ya kosa la mtu mmoja aliyepo dsm. kiukweli, hiyo sio haki hata wanaobisha wanajua.