Onyo: serikali heshimu haki ya kuabudu ya raia wako

Si unawateteaga ccm humu tetea na Hilo. Kwa taharifa yako hata Yesu arudi Leo akemee hawa wauwaji watekaji na watesaji watampiga risasi
sijawahi kutetea sisiem maisha yangu yote.
 
Hebu simama jukwaa I with your true identity uongee haya
 
Tusilaumu sana,

Mimi nilimwona amechanganyikiwa anaongea mwenyewe na kurusha mikono huku na kule.

Marekani kuna mambo!
 
Ni jukumu la wakristo wote kupinga utekaji ubakaji ufiraji mauaji kwa raia wote hizi tabia za kifirauni zirudishwe kuzimu ili tuone kama watayafuta makanisa yote kwa kupinga dhuluma KAZI ya kanisa ni kutetea uhai na kupinga Uovu.
Maana Uovu hauna adabu kesho kwako.
 
mkiuka misingi ya kuabudu kwa mujibu wa sheria, yeye na kanisa lake watawajibishwa na watafutiliwa mbali bila kuchelewa hata sekunde moja.

waambie na wengine wenye makanisa binafsi nchini kama huyo askofu mzinifu πŸ’
 
Je ingekuwa shehe ndie anamiliki misikiti elf moja nchi nzima misikiti ingefungwa kuwanyima haki ya kuabudu hao waumini.
Tuache udini.
Chezeeni kote lakini kwenye mambo ya ibada tusiguse huko.
 
Tabia za kifirauni za utekaji ubakaji ufiraji mauaji zinatokea wapi kama sio kuamsha hasira ya Mwenyezi Mungu kwa Taifa
 
Mtoa mada kusema kiongozi wao amekosea usizunguke kakosea kusema ukweli au kakosea kusema uongo kama si ya kweli Kwann wafunge huduma.
Huduma ni watu na sio mtu
 
Kama na makanisa wana amini Mungu ni muweza wa yote kwa nini
Wasipige sala watu waachwe kutekwa ? Waache vidomo kupitia hizo madhabau zao?
KAbla ya kupiga Sala huwa mnawahi kufunga makanisa ili muendeleze utekaji, ubakaji ufiraji mauaji.
 
mkiuka misingi ya kuabudu kwa mujibu wa sheria, yeye na kanisa lake watawajibishwa na watafutiliwa mbali bila kuchelewa hata sekunde moja.

waambie na wengine wenye makanisa binafsi nchini kama huyo askofu mzinifu πŸ’
So kupinga utekaji ubakaji ufiraji mauaji nchini ndio kukiuka misingi
 
Ebu kuwa muelewa hao waumini hakuna mtu aliyewazuia kufanya ibada ila hawaruhusiwa kufanya ibada Kwa Gwajima Kwa sababu Gwajima kibali chake kimefutwa

Hilo jina la kanisa ufufuo na uzima ni mali ya Gwajima
 
Ebu kuwa muelewa hao waumini hakuna mtu aliyewazuia kufanya ibada ila hawaruhusiwa kufanya ibada Kwa Gwajima Kwa sababu Gwajima kibali chake kimefutwa

Hilo jina la kanisa ufufuo na uzima ni mali ya Gwajima
acha ujinga, nitakufungua akili. kanisa la gwajima limefutwa usajili, ni kama halipo kabisa, kisheria hutakiwi kukusanyika popote na kusali hadi uwe na leseni au kibali, wakifuta kanisa maana yake hawatakiwi kukusanyika kwenye majengo yao nchi nzima kwa sababu hawatambuliki tena. HAWAJAFUNGA wamefuta, ndio maana jana ulisikia hata RPC wa mbeya anasema na makanisa 6 ya gwajima yaliyopo mbeya wameyafunga meaning kesho jumapili hawataruhusiwa kuonekana kwenye majengo hayo kusali.

swali ni je? hao wa mbeya wamekosa nini? kama kufunga si wangefunga la gwajima la ubungo peke yake? hao wa mbeya nao walikuwa wanahubiri siasa? kwa nini watu wa mikoani au makanisa mengine dsm ambayo sio pale ubungo wazuiwe kusali kwa sababu tu gwajima amekosana na serikali? hivi unaelewa maana ya usajili? unaelewa maana ya kufuta usajili? unajua tofauti kati ya kufunga kanisa na kufuta usajili wa kanisa? pia, kila kanisa kama taasisi huwa na wadhamini, haiwi mali ya mtu, kanisa sio mali ya mtu ni mali ya Yesu, sio mali ya gwajima ni mali ya Yesu, watu wenye chuki kama wewe dhidi ya ulokole ndio mnafurahia kweli kweli, kwa bahati mbaya hamtashida. time will tell.
 
mkiuka misingi ya kuabudu kwa mujibu wa sheria, yeye na kanisa lake watawajibishwa na watafutiliwa mbali bila kuchelewa hata sekunde moja.

waambie na wengine wenye makanisa binafsi nchini kama huyo askofu mzinifu πŸ’
1. shehe ponda amekiuka sana kwa kuhubiri chuki msikitini hadi kua na vijana waliokamatwa kwa ugaidi, lakini hakuna msikiti ulifutwa au kufungwa, kwa sababu ni msikiti sio kanisa.

2. Gwajima amekemea utekaji na uuaji unaoendelea, kila mwenye akili timamu anajua hali halisi inayoendelea nchini, mdude amebebwa mzima mzima, soka na wenzake, mashehe wameokotwa, hivi kukemea utekaji na uuaji ni kuvunja sheria za kuabudu?

3. Kanisa la ufufuo na uzima sio la gwajima, ndio maana hata gwajima hasali majengo yote, yeye anasali pale ubungo peke yake, kwengine kuna maaskofu wengine na waumini wengine, mnakosea mnaposema kanisa ni mali ya gwajima. basi hata misikiti ni mali za viongozi wa misikiti na wakatoliki ni mali ya vatican.

4. kanisa sio mali ya gwajima kwa sababu gwajima akifa leo kanisa bado litaendelea kuwepo

5. ufufuo na uzima nchi nzima ina makanisa zaidi ya 2000 na malaki ya waumini kama sio mamilioni. ni wengi sana, hao wahajahubiri chochote, makanisa yao mikoani hawajahubiri chochote, kwa nini wahukumiwe kwa kosa la mtu mmoja?

6. watu wengi wana chuki na kanisa hilo sio kwa sababu ya haki bali kwa sababu ya chuki dhidi ya ulokole ndio maana hata mama yenu amediriki kutukana waumini wote wa kanisa hilo kwamba wanaabudu ushetani. kama rais wako anadiriki kusema kanisa ambalo watu wana haki kuabudu ni la kishetani kwa nini walilisajili, kwanini gwajima amekuwa hadi mbunge, kwanini miaka yote hiyo limekuwepo? na ushetani wake upo wapi sasa?

ninyi ni roho za mashetani, na safari hii itajulikana nani anaabudu njia sahihi na nani hana Mungu. Stephano kwenye kitabu cha matendo aliwaita watu kama wewe na wenzako niw atu wenye mioyo isiyo tahiriwa, wakaishia kumpiga mawe hadi akafa ila kanisa halikufa liliendelea hadi leo lipo. Mungu awasaidie.
 
Hebu simama jukwaa I with your true identity uongee haya
mnatamani iwe hivyo ili mpate nafasi kukamata watu na kuwadhuru. ila jueni Mungu ndiye hakimu wa kweli na yupo anawaona. tunawafahamu wengi walikuwa kama wewe ila Mungu hakimu wa wote aliwafanya wakang'ata shuke. hata wewe utang'ata shuka, nakuombea utakapong'ata shuka basi uwe umempa Yesu maisha yako ili pengine usiende motoni. kiburi cheni ni kitu kidogo sana mbele za Mungu. hata hahesabu kama kuna kitu hapo.
 
Online republic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…