Onyo: serikali heshimu haki ya kuabudu ya raia wako

Hilo kanisa ni la Gwajima, amesajiri yeye mwenyewe, wewe pia unaweza kusajiri kanisa lako mkuu. Mbona kuna makanisa mengi tu yalishafutiwa usajiri? Yapo ya Wakongo n.k.
 
Hilo kanisa ni la Gwajima, amesajiri yeye mwenyewe, wewe pia unaweza kusajiri kanisa lako mkuu. Mbona kuna makanisa mengi tu yalishafutiwa usajiri? Yapo ya Wakongo n.k.
mtahangaika sana kufunga makanisa ila hamtafunga ukristo, na hamtafuta ukweli kwamba watu wanatekwa na kuuawa. mwogopeni Mungu, anawaona.
 
Mkuu kasajiri kanisa lako na wewe lililofungiwa ni la Gwajima amesajiri kama kanisa lake na kuna masharti ya kusajiri kanisa ndio maana Gwajima yuko kimya.
amesajili jumuiya, ina wadhamini, hayuko peke yake, ndio maana inaitwa jumuiya. sio kampuni ile., vyovyote itakavyokuwa, mtafungia makanisa ila hamtafuta ukristo, huo upo moyoni, malango ya kuzimu kamwe hayatalishinda kanisa la Mungu.
 
Reactions: UCD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…