Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Leo ni Mwananchi Day kila mtu anatambua hilo "Happy Mwananchi Day, Young Africans🎊
Pamoja na kutambulika kama ni Mwananchi Day, ila "haioneshi" kama ni siku yake mwananchi.
Kuna sababu nyingi zinazofanya hili tamasha kudoda siku ya leo, ikiwemo mikakati na mipango yao katika ngazi za uongozi, moja ni assumption ya kuwa msimu huu wamefanya vizuri sana, so Wananchi watakua self-motivated wenyewe.
Assumption kama hii ni mbaya sana: Coca-Cola/Pepsi ni makampuni maarufu sana ila kila siku wanatumia nguvu kubwa kujitangaza, haimaanisha watu hawazijui hizi brand na products zao, but it is human nature, watu lazima wakumbushwe otherwise watakupotezea. Hii namba moja.
Namba mbili ambayo ni kubwa sana, ni propaganda zinazoendeshwa na Simba SC "Mnyamaa". Kwa ufupi, lengo lao limefanikiwa tayari. Yanga wameingia kwenye mfumo. Wiki nzima ilikuwa ni story za "Kibegi" na suala la Jersey hadi asubuhi ya leo. Hapa nimewasamehe.
Ila mnataka kuichukua hii siku tena kuanzia saa saba mchana? Hapana. Hii haikubaliki. Kama ni Utambulisho wa "Luis" acheni haraka. Hakuna haja ya kufanya hivyo, acheni Mwananchi ajizike mwenyewe, acheni mwananchi aharibu Siku yake mwenyewe either kwa taarifa ya Mayele, kufungwa na Kaizer Chiefs, Mama J e.tc
Naamini Yanga lazima atajizika mwenyewe siku ya leo.
Then, ichukueni next week kwa kumtambulisha "Luis" mapema kabisa.