mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Tayariiii III!!!! Kimewaka , siku ya mwananchi kufikishwa kileleni na Kaiza Chifes imetiwa doa na huu usajili mkubwa wa miquisone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kutazama kinachoendelea pale Lupaso hali ni mbaya sana. Poleni sana Wananchii.Aisee mashabaki wa Yanga tunajitambua mpaka basi. Yaani tuache kuifikiria siku ya Wananchi, na badala yake tuumize vichwa vyetu kwenye mambo ya kipuuzi!!
Eti kibegi!! Ujinga mtupu.
Hadi sasa naona kwa vitendo tayari wameomba poo. Ila kwa maneno wanajaribu kulinda pride zao😂😂Mpaka waombe poo
Updates za Lupaso ziko wapiAisee mashabaki wa Yanga tunajitambua mpaka basi. Yaani tuache kuifikiria siku ya Wananchi, na badala yake tuumize vichwa vyetu kwenye mambo ya kipuuzi!!
Eti kibegi!! Ujinga mtupu.
Haha. Linapokuja suala la timing na propaganda, Manara ni mtu smart sana. Tayari alisoma upepo mapema, akaona mambo sio mambo. Huyo amekachaa😂😂Hawa tunao mpaka watapike pilau la sa100
Umeona manara kalikacha bonanza kijanja anasingizia ana adhabu mbona bonanza lilipita alishiriki akiwa bado anatumikia adhabu
Najaribu kufikiria: Labda Simba SC ameona kama heshima yake inashuka hivi, kama mazoea zoea yameanza hivi😂😂Hii vita ngumu sana. Ukitumia wavulana hutoboi
🤣🤣🤣🤣
Angalia mubashara kupitia Azam Sports 1HDUpdates za Lupaso ziko wapi
Ndiyo kwanza ni saa tisa alasiri. Mpaka ikifika saa 1 usiku wakati wa mechi, uwanja utakuwa umeshatapika kwa kiingilio hicho hicho cha kitajiri.Haya manngoma ya kizaramo yanayojiita singeli ni hovyo na kelele kabisa.
Viingilio vikubwa vimefanya uwanja kutoka.kujaa
Mpaka ikifika saa moja usiku, utakuja kufuta hiki ulichokiandika hapa. Tena kwa kiingilio cha elfu 10, ambacho kimsingi hakuna timu nje ya Yanga inaweza kukiweka kwa mashabiki wake.Najaribu kutazama kinachoendelea pale Lupaso hali ni mbaya sana. Poleni sana Wananchii.
Simba bana mwenzenu anatumika nyie mnapeleka moto tu siyo fresh hivyoLeo ni Mwananchi Day kila mtu anatambua hilo "Happy Mwananchi Day, Young Africans[emoji323]
Pamoja na kutambulika kama ni Mwananchi Day, ila "haioneshi" kama ni siku yake mwananchi.
Kuna sababu nyingi zinazofanya hili tamasha kudoda siku ya leo, ikiwemo mikakati na mipango yao katika ngazi za uongozi, moja ni assumption ya kuwa msimu huu wamefanya vizuri sana, so Wananchi watakua self-motivated wenyewe.
Assumption kama hii ni mbaya sana: Coca-Cola/Pepsi ni makampuni maarufu sana ila kila siku wanatumia nguvu kubwa kujitangaza, haimaanisha watu hawazijui hizi brand na products zao, but it is human nature, watu lazima wakumbushwe otherwise watakupotezea. Hii namba moja.
Namba mbili ambayo ni kubwa sana, ni propaganda zinazoendeshwa na Simba SC "Mnyamaa". Kwa ufupi, lengo lao limefanikiwa tayari. Yanga wameingia kwenye mfumo. Wiki nzima ilikuwa ni story za "Kibegi" na suala la Jersey hadi asubuhi ya leo. Hapa nimewasamehe.
Ila mnataka kuichukua hii siku tena kuanzia saa saba mchana? Hapana. Hii haikubaliki. Kama ni Utambulisho wa "Luis" acheni haraka. Hakuna haja ya kufanya hivyo, acheni Mwananchi ajizike mwenyewe, acheni mwananchi aharibu Siku yake mwenyewe either kwa taarifa ya Mayele, kufungwa na Kaizer Chiefs, Mama J e.tc
Naamini Yanga lazima atajizika mwenyewe siku ya leo.
Then, ichukueni next week kwa kumtambulisha "Luis" mapema kabisa.
Kwa hili wamechemka sana. I think pia hiki ndicho kigezo wamwtumia hata kuweka viingilio vikubwa. Lakini mwishoni wanajikuta wanaanza kugawa ticket kwa nguvu kubwa ili kuepusha fedheha😄Uto walijisahau katika hii siku yao fainali ya CAF waliona washamaliza kila kitu.
Okay, kufeli haimaanishi ni mchezaji mbaya. Kuna sababu nyingi zinaweza pelekea mchezaji kufail nje ya zile za uwezo binafsi wa mchezaji husika.Mchezaji aliyefeli ndo iwe habari kubwa?🚮
I agree...Not fair😂😂Simba bana mwenzenu anatumika nyie mnapeleka moto tu siyo fresh hivyo
Changamoto moja tuliyonayo watu wengi hatupo vizuri kwenye sales/marketing.Mpaka ikifika saa moja usiku, utakuja kufuta hiki ulichokiandika hapa. Tena kwa kiingilio cha elfu 10, ambacho kimsingi hakuna timu nje ya Yanga inaweza kukiweka kwa mashabiki wake.
Kumbe ni simba fan?Changamoto moja tuliyonayo watu wengi hatupo vizuri kwenye sales/marketing.
Issue kama hizi inabidi utumie client/customer-centric approach maana hao ndio walengwa husika. Je mashabiki wengi wanaweza afford kiingilio tajwa?
Hii ni sawa na kuanzisha biashara ya sweta nzito za baridi Dar, tena kile kipindi cha joto kali.
Zingatieni uchumi wa mashabiki zenu. Ona sasa mnagawa ticket bure[emoji23][emoji23]
Hakuna kitu hapoNdiyo kwanza ni saa tisa alasiri. Mpaka ikifika saa 1 usiku wakati wa mechi, uwanja utakuwa umeshatapika kwa kiingilio hicho hicho cha kitajiri.