ONYO: Ukiweka agano la damu hakikisha unalitimiza, or else...

ONYO: Ukiweka agano la damu hakikisha unalitimiza, or else...

Yes ni agano. Ile damu iliyo mwagika baada ya tendo inatamka juu ya ardhi kwamba wewe ulie mbikiri mwanamke huyo ndio mume halali wa mwanamke huyo ambae unatambulika katika ulimwengu wa rohoni.

Ukioa mwanamke ambae sio bikra jua kwamba umeoa mwanamke ambae sio mke wako
Joka jeusi yupo wap??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
LIKUD [emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1534]
 
Mawazo ya uchawi na ushirikina na maagano na kafara ni maisha ya stress sana.

Hapa bado nakuwazia mawazo yako ya stress za sijui hana bikira ardhi haina ushahidi wa damu ya bikira, viapo vya damu.

Hakuna uhuru wala furaha katika kutazama dunia kwa mtazamo hasi na kutegua mitego isiyokuwepo

Mbona MUNGU ametupa maisha ya raha sana wanaume kama ukiishi kwa upendo, ukasaidia wengine, ukajenga madarasa, mabomba ya maji kijijini kwako n.k na ukawa na pesa ya kutimiza mahitaji yako?

Unakuwa na amani tele kila unapopita wazee wanakubariki tu, watoto wanafurahi, mkeo ananenepa n.k...... Mnajipa tabu sana.

Ushauri: Embu siku moja nenda kafanye jambo linaloacha alama kwenye jamii yako uone kama haya mawazo yatakuwa sehemu ya maisha yako.

Utagundua kuwa duniani tupo kwa ajili ya wengine baasi, mitazamo hasi juu ya binadamu wengine na kutegua mitego isiyokuwepo haitakuwa na nafasi kwenye akili yako, utapata amani na utajisikia furaha kweli.
 
Kumtoa msichana/ mwanamke bikira ni gano pia mkuu na fatica ulimwengu wa kiroho uliyemtoa bikra ndio mkeo halisi.
𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑤𝑒𝑤𝑒 𝑚𝑝𝑎𝑘𝑎 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑢𝑛𝑎𝑚𝑎𝑎𝑔𝑎𝑛𝑜 𝑚𝑎𝑛𝑔𝑎𝑝𝑖😂😂😂
 
mnakosea sana mkuu. kanuni ya kutumia damu kwenye ibada haiwezi kuvunjika. uki ivunja wewe ivunje tu at ur own risk. Damu ni roho, Mungu ni roho. wewe ni mwili wa nyama, huwezi ku communicate na Mungu ambae ni roho bila ' roho' kuhusika. So kwa namna yoyote ile unapo taka kuwasiliana na Mungu au roho yoyote ile lazima ufanye hivyo kwa kutumia damu. Utumie damu gani kwa wakati gani na namna gani hilo ni suala jingin. Hata Mungu mwenyewe anasema " waniabuduo mimi huniabudu katika " roho" na kweli. Roho ni damu. Watu wanao fanya maombi kwa kutumia damu huwa wanapata majibu na mafanikio ya haraka sana kuliko wale wasio tumia damu. Akina Mussa, Ibrahim & co wote walikuwa hodari sana katika kutumia damu kuwasiliana na Mungu. Daudi kipenzi cha Mungu ali ijua siri hii ndio maana alifanikiwa katika mambo yake yote. Ndio mfalme jemedari ambae hajawahi kushindwa vita yoyote.

TO me Mchungaji anaposema " nipo rohoni " anapaswa kuwa ana maanisha kwamba yupo katika ibada ya kuwasiliana na Mungu kwa kutumia DIVINE LIQUID ambayo ninyi watu wa dunia hii mmekosa adamu mnaiita damu.

𝐾𝑎𝑘𝑎 𝑢𝑛𝑎𝑝𝑜𝑠𝑒𝑚𝑎 𝑏𝑖𝑛𝑎𝑑𝑎𝑚𝑢 𝑛𝑖 𝑚𝑤𝑖𝑙𝑖 𝑤𝑎 𝑛𝑦𝑎𝑚𝑎 𝑡𝑢𝑢 𝑘𝑖𝑑𝑜𝑔𝑜 𝑛𝑎ℎ𝑖𝑠𝑖 𝑛𝑡𝑎𝑒𝑛𝑑𝑎 𝑡𝑜𝑓𝑎𝑢𝑡𝑖 𝑛𝑎𝑤𝑤.𝑏𝑖𝑛𝑎𝑑𝑎𝑚𝑢 𝑛𝑖 𝑟𝑜ℎ𝑜,𝑚𝑤𝑖𝑙𝑖/𝑛𝑦𝑎𝑚𝑎 𝑛𝑎 𝑛𝑎𝑓𝑠𝑖,𝑖𝑙𝑖 𝑏𝑖𝑛𝑎𝑑𝑎𝑚 𝑎𝑘𝑎𝑚𝑖𝑙𝑖𝑘𝑒 𝑙𝑎𝑧𝑖𝑚𝑎 𝑎𝑤𝑒 𝑛𝑎 ℎ𝑖𝑣𝑜 𝑣𝑖𝑡𝑢 𝑣𝑖𝑡𝑎𝑡𝑢(𝑟𝑜ℎ𝑜,𝑛𝑎𝑓𝑠𝑖 𝑛𝑎 𝑚𝑤𝑖𝑙𝑖) 𝑛𝑎 𝑛𝑑𝑜𝑚𝑎 𝑏𝑖𝑛𝑎𝑑𝑎𝑚𝑢 𝑎𝑘𝑖𝑙𝑎𝑙𝑎 𝑚𝑎𝑢𝑡𝑖 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑠𝑒𝑚𝑎 𝑟𝑜ℎ𝑜 𝑖𝑚𝑒𝑎𝑐ℎ𝑎 𝑚𝑤𝑖𝑙𝑖,𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑚𝑏𝑎 𝑟𝑜ℎ𝑜 ℎ𝑎𝑖𝑓𝑖 𝑢𝑛𝑎𝑘𝑢𝑓𝑎 𝑚𝑤𝑖𝑙𝑖, 𝑛𝑎 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑝𝑜𝑤𝑎𝑠𝑖𝑙𝑖𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑛𝑗𝑖𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑟𝑜ℎ𝑜,𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑖 𝑟𝑜ℎ𝑜
 
𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑤𝑒𝑤𝑒 𝑚𝑝𝑎𝑘𝑎 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑢𝑛𝑎𝑚𝑎𝑎𝑔𝑎𝑛𝑜 𝑚𝑎𝑛𝑔𝑎𝑝𝑖😂😂😂
Yaani we acha tu mkuu, alafu katika hao hakuna hata niliyeweka ndani lol
 
Yaani we acha tu mkuu, alafu katika hao hakuna hata niliyeweka ndani lol
𝑁𝑑𝑜 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑠𝑎𝑠𝑎...𝑛𝑎 𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑎𝑛𝑡𝑖𝑘𝑖 ℎ𝑖𝑦𝑜 𝑤𝑒𝑛𝑔𝑖 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑜𝑙𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝑘𝑢𝑜𝑎 𝑤𝑎𝑢𝑚𝑒 𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑘𝑒 𝑧𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑎𝑖𝑠ℎ𝑎 𝑦𝑎 𝑠𝑎𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑚𝑘𝑢𝑡𝑎 𝑚𝑤𝑎𝑛𝑎𝑚𝑘𝑒 𝑏𝑖𝑘𝑟𝑎 𝑝𝑖𝑛𝑑𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑝𝑜𝑜𝑙𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑖 𝑛𝑎𝑑𝑟𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎
 
𝑁𝑑𝑜 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑠𝑎𝑠𝑎...𝑛𝑎 𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑎𝑛𝑡𝑖𝑘𝑖 ℎ𝑖𝑦𝑜 𝑤𝑒𝑛𝑔𝑖 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑜𝑙𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝑘𝑢𝑜𝑎 𝑤𝑎𝑢𝑚𝑒 𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑘𝑒 𝑧𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑎𝑖𝑠ℎ𝑎 𝑦𝑎 𝑠𝑎𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑚𝑘𝑢𝑡𝑎 𝑚𝑤𝑎𝑛𝑎𝑚𝑘𝑒 𝑏𝑖𝑘𝑟𝑎 𝑝𝑖𝑛𝑑𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑝𝑜𝑜𝑙𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑖 𝑛𝑎𝑑𝑟𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎
Mungu atatuadhibu kwa makosa mengi sana
 
Hayo ni mafundisho ya uongo kutoka kwa nabii/mwalimu wa uongo,ambaye babaye ni shetani.
Maana shetani ni baba wa uongo.
Iko hivi;
Kristo Yesu alikufa msalabani
Akamwaga damu yake
Kwa ajili ya ondoleo la dhambi&laana za ulimwengu.
Damu ya Yesu,pekee ndiyo
yenye mamlaka kuondoa dhambi&laana..si vinginevyo.
Anyway,
Kama unaongelea mambo ya
kishirikina na ulozi...ni sawa.
 
Mshana wewe ndio expert wa haya mambo ya damu,roho,nk una lipi lakuongezea?
Ufafanuzi wake umejitosheleza sana.. Kuna bandiko la nyongeza nitakupa link

Mshana wewe ndio expert wa haya mambo ya damu,roho,nk una lipi lakuongezea?
 
Hayo ni mafundisho ya uongo kutoka kwa nabii/mwalimu wa uongo,ambaye babaye ni shetani.
Maana shetani ni baba wa uongo.
Iko hivi;
Kristo Yesu alikufa msalabani
Akamwaga damu yake
Kwa ajili ya ondoleo la dhambi&laana za ulimwengu.
Damu ya Yesu,pekee ndiyo
yenye mamlaka kuondoa dhambi&laana..si vinginevyo.
Anyway,
Kama unaongelea mambo ya
kishirikina na ulozi...ni sawa.
Ndugu yangu kanuni ya ahadi na nadhiri katika ulimwengu wa roho ipo pale pale. Unaweza kusema ni mambo ya agano la kale, lkn kabla hujaja na utetezi huo soma matendo ya mitume 5: 1- 11 uone kilichomkuta Anania na mkewe kwa kutotimiza ahadi. Ahadi au nadhiri yoyote unayoweka inaandikwa katika ulimwengu wa roho, ni lazima itekelezwe, kutokutimizia ahadi au nadhiri ni kujitia kwenye matatizo makubwa. KUKAA MBALI NA LAANA ITOKANAYO NA KUTOKUTIMIZA AHADI/ NADHIRI NI KUJIEPUSHA KUAHIDI CHOCHOTE POPOTE
 
Hayo ni mafundisho ya uongo kutoka kwa nabii/mwalimu wa uongo,ambaye babaye ni shetani.
Maana shetani ni baba wa uongo.
Iko hivi;
Kristo Yesu alikufa msalabani
Akamwaga damu yake
Kwa ajili ya ondoleo la dhambi&laana za ulimwengu.
Damu ya Yesu,pekee ndiyo
yenye mamlaka kuondoa dhambi&laana..si vinginevyo.
Anyway,
Kama unaongelea mambo ya
kishirikina na ulozi...ni sawa.
Wacha wee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom