Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

umalaya hautaisha kamwe.....we hata ungeenda moro ungeendeleza tu libeneke la umalaya
 
Kumbe wakina gudume wapo wengi humu ndani, ila poa tu mkuu ulimla mpaka mwl wangu wa mtwara girls. Nimesoma pale 1_6 kuna watoto wazuri balaaa
 
wabongo kweli akili zao unajisifia zinaa unaijua dhambi ya zinaa moja halafu bado unaitangaza kila anaeisoma story yako dhambi zinakuijia wewe hongera kwa kukusanya dhambi nyingi mpaka utazikwa zitakuijia huko ulipolazwa maana watu wataendelea kusoma uchafu wako
 
Basi kazi ipo kama kazi hazifanyiki tunabana safari ili kuwalinda wanaume.🙄🙄
 
Yaan mkuu ulikuwa ziara ya kutembeza bakora,na kwel umewatembezea bakora kwel kwel,kama una uchu wa maendeleo hayo maisha hakika hayafai,sana sana utapotea na utajikuta umri unaongezeka na cha maana haujafanya na kama una Mke utashtukia umemtelekeza,lakini ndiyo hivyo wakati mwingine tunaambiwa tule ujana maana maisha yenyewe mafupi
 
Ulichosema kuhusu watoto wa mtwara kukata mauno ni kweli kabisa. Yaani toto linakatika hata ukiwa mvivu utakojoa non stop! Namkumbuka sana Asia wangu aisee!
 
Back
Top Bottom