Oooh hapo sawa mkuu sema hujawahi pata wakukupa labda manjonjo yasiyo fake...chakula bila chumvi na viungo kinakuwa hakinogi mkuu, wachagga wanajuaga style moja ya kifo cha mende tu.....ila totoz nyingine unaeza kuta ipo ukutani kitandani ishatoka 😁Kinachotutofautisha ni matarajio mkuu.
Mimi ninapenda mwanamke ambaye yuko real, biashara ya ku fake miguno, sarakasi nyingi hunikata stimu.
Ikiwa sarakasi zimetokana na hisia kali yaani ukichaa wa mapenzi hapo sawa
Oooh kuna dizain ya meno huwa wanafanana kwenye fizi, lakini ethiopians ni weupe/black chocolate na nywele zile za kisomali, wanyarwanda wapo kama wameru wa arusha yaani ivo ivo walivo mkuu.Mionekano yao ni tofauri ikiwa unawafahanu vizuri.
Mimi nikimuona muethopia akiqa na Mrwanda nawatifautisha vyema
Mkuu usinichokoze nimwage file langu lote🤣Oooh hapo sawa mkuu sema hujawahi pata wakukupa labda manjonjo yasiyo fake...chakula bila chumvi na viungo kinakuwa hakinogi mkuu, wachagga wanajuaga style moja ya kifo cha mende tu.....ila totoz nyingine unaeza kuta ipo ukutani kitandani ishatoka 😁
Mwagaa tu ikibidi mkuu..au wewe ni TISSMkuu usinichokoze nimwage file langu lote🤣
April panapo majaaliwa nina rafiki zangu wanakuja group la warembo 10 wanakuja kutembea karibu ujionee utalii wa macho🤣Oooh kuna dizain ya meno huwa wanafanana kwenye fizi, lakini ethiopians ni weupe/black chocolate na nywele zile za kisomali, wanyarwanda wapo kama wameru wa arusha yaani ivo ivo walivo mkuu.
Nitakuwepo😅April panapo majaaliwa nina rafiki zangu wanakuja group la warembo 10 wanakuja kutembea karibu ujionee utalii wa macho🤣
Mkuu umewahi kuona najisifia kunyanduana?🤣🤣🤣🤣Mwagaa tu ikibidi mkuu..au wewe ni TISS
Wewe siyo Jackal sio😁Mkuu umewahi kuona najisufia kunyanduana?🤣🤣🤣🤣
Hapana
Hapana mkuu siongeagi ya faragha, hapa kuna watu wanatufuatilia kimya kimya na najulikana nje ya hapaWewe siyo Jackal sio😁
Ni sahihi tuachie pen hapa.Hapana mkuu siongeagi ya faragha, hapa kuna watu wanatufuatilia kimya kimya na najulikana nje ya hapa
Haha mimi bado sanaNi sahihi tuachie pen hapa.
Basi mkuu hawa mademu watatutoa roho hivi punde.Haha mimi bado sana
Hujawazoea tu?Basi mkuu hawa mademu watatutoa roho hivi punde.
Aiseee iko hivo mkuu hali inatisha.Hujawazoea tu?
Ukiwa mlaku sana huwezi kupata kitu bora
Usisumbuliwe na wanawake kiasi hicho mkuu ona kitu cha kawaida sanaAiseee iko hivo mkuu hali inatisha.
Sawa mkuuUsisumbuliwe na wanawake kiasi hicho mkuu ona kitu cha kawaida sana
🤣😜Sawa mkuu
Imeandikwa...mwenye nacho ataongezewa...Kwa maoni yangu, mleta mada ndiye hasa mwenye tabia za kimalaya!
'Shetani akawa anamkutanisha' na malaya wenzie wa hayo maeneo aliyopita!
Hio sehemu inaitwa "mboga saba" mkuu?,tabora imeshakua sehemu muda wowote naweza kufikaUkifidka Tabora, nenda ukale Mbogq Saba, hapo utakutana na wadada Wakiarabu ! Yale mabaibui Wala yasikutishe ...!