The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Oooh hapo sawa mkuu sema hujawahi pata wakukupa labda manjonjo yasiyo fake...chakula bila chumvi na viungo kinakuwa hakinogi mkuu, wachagga wanajuaga style moja ya kifo cha mende tu.....ila totoz nyingine unaeza kuta ipo ukutani kitandani ishatoka 😁Kinachotutofautisha ni matarajio mkuu.
Mimi ninapenda mwanamke ambaye yuko real, biashara ya ku fake miguno, sarakasi nyingi hunikata stimu.
Ikiwa sarakasi zimetokana na hisia kali yaani ukichaa wa mapenzi hapo sawa