Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtazamo wa kizaman huoHalafu washenz hua ngoma hawapati sijui kwanini
wewe naeha hahaha inatia ashki kwa mbali
story tuwewe nae
Sioni sababu ya kutokwa povu kijana. Punguza mihemko unapokuwa "criticized".Wivu wa kike makabila mimi simjuzi ila alichonambia yeye ni mchanganyiko wa mdigo na msambaa....by the way....wewe amini utakavyo mi sipungukiwi kitu. Nmeandika kuwafunza vijana watulie ila naona mama umekuja juu.
Huu uzi unanikumbusha mwaka 2009 nilikuwa safarini kuelekea ifakara,nilifika Moro mida ya saa 9 kutokea Arusha,ilibidi nichukue chumba katikati ya mjini sijui hata panaitwaje,baada ya kupunguza uchovu wa safari Kwa kuoga ikaninibidi niingie mtaan kutafuta msosi, bahati nzuri niliingia bar moja hivi kila kitu kinapatikana piga msosi wangu fresh then nikaanzisha gambe kitu castle lager,mhudumu aliekuwa ananihudumia ni binti mmoja wa kinyamwezi Kwa maelezo yake na yy alikuwa si mwenyeji Moro sababu toka amefika hapo Hana week 2,ninachokumbuka tu huyo dada alinipa penzi moja matata sana mpaka kesho huwa namkumbuka,mbaya zaidi siku nimekutana nae hakuwa na sim so nilimwachia no zangu mm kesho yake nikaendelea na safari yangu,baada ya kama miezi 6 nilirudi pale kumwuulizia sikumpata,mtt Aziza popote pale Ulipo upatapo huu ujumbe tuwasiliane
Sioni sababu ya kutokwa povu kijana. Punguza mihemko unapokuwa "criticized".
Yn uzinzi wote kumbe una mke wa ndoa....
sishangai magundu na malaana kukuikumba familia yako...time will tell
Mkuu Nuru nipo nae kwasasa.
Duh,jamaa anatunza kumbukumbu!!!mtwara 50,singida7tabora 30,we jamaa Atari sana.
hadi huku ushaharibu mkuu,...idadi Yao plz kama hutojalifamilia yangu haina gundu..wewe kipindi kile ndo uliniletea gundu na laana kwa sasa wala sina tatizo. halafu kuna aina ya nyie wadada mnakuwa na gundu hasa wewe....nilikuwa nikitembea tu na wewe napoteza au kuibiwa pesa. toka nimekuacha mambo yameninyookea ile mbaya..... ukaoge na ujioshe vizuri pia.