Tanga wanajua kujiweka kaka, yaani wanawake wa kule kwenye kujistiri na kujiremba, na misosi na ongea yao ile lafudhi kaka huwezi mlinganisha na mnyaturu au mmbulu, kanda ya kati warangi pekee ndiyo wazuri na wanyiramba kidogo hao wairaq ni wazuri zaidi ya warangi au wanafanana...broh hawa totoz nawajua vizuri.
ukija wameru wa arusha wale wapo kama wanyarwanda fulani hivi.....ila Tanga ni special case na baadhi ya wapare kidogo sana ila hawa na dada zangu wakichagga mule mule tu makalio kama wahindi 😅😅😅