Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

Sasa kujituma na tabia wapi bora?
Mimi mwanamke akiwa na tabia njema hata asijue kushughulika sana hainipi shida
Hilo hata ndio naangalia,kuna muda inabidi nichepuke ili kulinda ndoa yanguq
 
Alikuwa msafi ana mashine safi imevimba utadhani ameumwa na nyuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kuhusu mtwara ni kweli kabs mi ppia nilikua mtwara Kati ya mwaka 2019 had mwak 2022,nilikua mtwara mjin, mtaa wa ligula B,

oyaa jamn mi ukweli cjawahi ona maisha yale, Yan hakun kitu rahis Kam kupata msichan duh, oya htr san.Mi mewahi pata demu mkali kwa kumwambia tu njoo unitembelee nyumbn, mwingn likua nadeti na mdg wake, dad yake akampindua mdh wake, sem kun meng San yakuhadithia kuhus mtwara na mapenzi

NB,wanawake wa mtwara miuno ni jadi yani, kule ni htr san
 
Singida, Tanga nimekaa sana, sema Tabora nimeoa toto la kinyamwezi ila sasa huyu mwanamke ataniua kwa visa...

Daaah wakuu anachosema mtoa mada japo ni miaka imepita lakini bado yapo mambo.
Huyu mwanamke ni noma sana ile nyama inapikwa inawekwa kwenye K wakati yupo period anakupa msosi baada ya hapo huruki nahisi kafanya hivo kwangu mi nikiangalia mchagga hata kuloga sijui naumia Mshana Jr ebu mtani wangu nisaidie nalogwa na mnyamwezi huku.

Kila kitu anataka asikilizwe nami nafanya hivo.
ogea chumvi kijana
 
Oooh kuna dizain ya meno huwa wanafanana kwenye fizi, lakini ethiopians ni weupe/black chocolate na nywele zile za kisomali, wanyarwanda wapo kama wameru wa arusha yaani ivo ivo walivo mkuu.
Waethiopia kama sijakosea wanafanana na wagunya na Kuna jamii fulani kama watu wa Kurdish ila sio wale asilia ni hawa ambao sio weupe sana.

Wana Midomo ya rangi nyekundu na hili jua la bongo wengi unakuta kama Wana madoa usomi au vidoti ...Walikuwa wengi sana ila wabaguzi kinoma na kile kiswahili Chao kama wahindi
 
Tena mkubwa sana kaka, ushamba tunao sana na sababu ni kuwa wanawake wetu wengi hawajui kumjali na kumpenda mwanaume.
Nimezunguka sana kwa tafiti zangu nimechunguza sana ..Sina upendeleo ila Kuna jambo ambalo lipo ila mm nalion kawaida wanawake wa jamii za pwani wanaogopwa sana na hizi jamii wachaga,wameru, wamasai ila sio watu wa kanda ya ziwa.

Ila naona kwa sehemu zote ni wanawake wazuri haijalishi wanatokea upande gani sema wao wanajiona kama wapo nyuma ila tambua hata wao wanazo sifa muhimu na mambo mengi sasa yamesambaa kila kona sifa ni miaka ya 2000's kurudi nyuma.

Unamkuta mtu anasema eti mume wangu akienda singida sijui Tanga hatorudi sio kweli labda awe Malaya tu
 
Waethiopia kama sijakosea wanafanana na wagunya na Kuna jamii fulani kama watu wa Kurdish ila sio wale asilia ni hawa ambao sio weupe sana.

Wana Midomo ya rangi nyekundu na hili jua la bongo wengi unakuta kama Wana madoa usomi au vidoti ...Walikuwa wengi sana ila wabaguzi kinoma na kile kiswahili Chao kama wahindi
Hao umezungumzia waethiopia siyo na siyo wasomali maana ni watu wawili tofauti hawa yaani ethiopians wanafanana na wairaq wa manyara.....

Wanyarwanda ni kama wameru....pia kuna wakenya fulani wapo kama wanyarwanda yaani ukiwaona unaweza usigundue kama ni wakenya au wanyarwanda. fizi nyeusi...mimi binafsi huwa nafananishwa na hao wakenya sana hadi nakereka mtu kuniita mkenya wakati mi Mtanzania...😄
 
Nimezunguka sana kwa tafiti zangu nimechunguza sana ..Sina upendeleo ila Kuna jambo ambalo lipo ila mm nalion kawaida wanawake wa jamii za pwani wanaogopwa sana na hizi jamii wachaga,wameru, wamasai ila sio watu wa kanda ya ziwa.

Ila naona kwa sehemu zote ni wanawake wazuri haijalishi wanatokea upande gani sema wao wanajiona kama wapo nyuma ila tambua hata wao wanazo sifa muhimu na mambo mengi sasa yamesambaa kila kona sifa ni miaka ya 2000's kurudi nyuma.

Unamkuja mtu anasema eti mume wangu akienda singida sijui Tanga hatorudi sio kweli labda awe Malaya tu
Saivi utandawazi upo mkuu....
 
Hao umezungumzia waethiopia siyo na siyo wasomali maana ni watu wawili tofauti hawa yaani ethiopians wanafanana na wairaq wa manyara.....

Wanyarwanda ni kama wameru....pia kuna wakenya fulani wapo kama wanyarwanda yaani ukiwaona unaweza usigundue kama ni wakenya au wanyarwanda. fizi nyeusi...mimi binafsi huwa nafananishwa na hao wakenya sana hadi nakereka mtu kuniita mkenya wakati mi Mtanzania...😄
Wanyarwwanda na wameru ni copy kwanza urefu wao tu ila tatizo la wameru wabovu ni wale wanene ila wembamba ni wazuri ...Nilisoma nao chuo Kuna dogo alikuwa ananipenda sana kila siku lazima aniulizie "shekhe yule anayeongea kama mzanzibar yupo?🤣🤣🤣
 
[/QUOTE]

Wewe mzenji kumbe au afkasti fulani hivi wa bongo 😄
 
Wewe mzenji kumbe au afkasti fulani hivi wa bongo 😄
[/QUOTE]
Hapana mi naongea kiswahili cha mwambao wazenji na mimi vitu viwili tofauti kabisa kwanza wabaguzi picha haziendi kabisa.

Sijawahi kufika zenji asili yangu ni bara sema nimekaa sana na watu wa pwani
 
Na mkeo anapaligwaa hivooo hivoooo Kama wewe unavyowapaligaa wadada na wake za watuu. Kipimo unachowapimia wenzio nawe utapimiwa sawa na wao. Na familiaa mkiwa wazinzi wotee mnaelewana balaaa usidhani mkeo hajuagi anajuaa semaa anaamua kukuachaa sababu nae anajua ana yakee
hakika umenena kweli isiyopingika
 
Wewe mzenji kumbe au afkasti fulani hivi wa bongo 😄
Hapana mi naongea kiswahili cha mwambao wazenji na mimi vitu viwili tofauti kabisa kwanza wabaguzi picha haziendi kabisa.

Sijawahi kufika zenji asili yangu ni bara sema nimekaa sana na watu wa pwani
[/QUOTE]
Aaaah wazenji bhna wana mihasira sana wala siyo wabaguzi ila wanapenda kuwa wenyewe na ustaarabu wao ila wapo peace tu wakiona mtu wa bongo hana magumashi😅

Wabara sisi ndiyo tunazinguaga kwa baadhi ya vitu vidogo vidogo yaani hatujipendi kabisa ila wazenji wanajithamini kuliko watu wa bara kwenye kila kitu.

Wabara tumejikatia tamaa, wazenji wameridhika na hawajui kujikatia tamaa. Wazenji walio pigika maisha ni wachache sana....bara utakuta jamaa limepigika maisha acha...😄😄
 
Back
Top Bottom