Onyo: Yanga Mkithubutu kubeba mabango ya Mwenyekiti wa CCM kwa Mkapa, Msimlaumu mtu

Onyo: Yanga Mkithubutu kubeba mabango ya Mwenyekiti wa CCM kwa Mkapa, Msimlaumu mtu

Natoa angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana, hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala, Mkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger. Potelea mbali.

Rais kutoa hela za kusaidia michezo, kununua magoli au tiketi haimaanishi kuwa hela zinazotumika ni zake binafsi, msijitoe ufahamu.

Chezeni game yenu kistaarabu mtaungwa mkono, kubeba mabango yasiyohusika na michezo hata FIFA ilishakataza. Kwanza mliona Nchi gani inafanya hayo madudu yenu?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Yalitimia
 
Back
Top Bottom