FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Ni tukio la kweli ambalo limetokea Juzi hapa nilipo kwa
Kijana mmoja kapoteza maisha kisa penzi ka barmaid
Kijana mwenyewe ana umri kati ya miaka 28 -30 hivi kachomwa kisu bar na kupoteza maisha katika kumgombea Mhudumu
Kijana huyu ameacha mke ana 25 yrs old na mtoto mdogo bado ananyonya- Too sad
Mke analia kwa uchungu na kuuliza maswali yanayouumiza kwa kila mwenye kuyasikia
Mme wangu kweli umekufa unagombea mhudumu wa Bar kwani mie nina kasoro gani jamani ni mapenzi gani nilikunyima ??
Hivi tuwafanyie nini jamani?
FL1 mkishaolewa huwa mnapunguza manjolinjo.
Best hii siyo sababu kubwa ila tatizo letu wanaume tunapenda sana varieties, hata kama mkeo angekuridhisha bado utakuta wengine wanakwenda nje eti kisa ''ya wizi tamu'' jamani ni tamaa tu. Sasa huyu mwenzetu kakimbilia kwa barmaid? Jamani hivi kweli kwa wenzetu mliooa, kama mwenzio hakuridhishi, huwezi kumwambia kuwa ''bado'' hadi ukimbilie mtaani, na ukimwambia kwani atakuona mwenye tamaa au? Apumzike kwa amani!FL1 mkishaolewa huwa mnapunguza manjolinjo.
si kiivyo KakaJambazi ..mkeo yuko nyumbani amelala matokeo yake analetewa maiti sababu kuu ni ngono...mmh
Pale tunaposahau kwa nini msitukumbushe jamani sisi ni binadamu kama nyie
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.
MBADILIKE WANAUME
si kiivyo KakaJambazi ..mkeo yuko nyumbani amelala matokeo yake analetewa maiti sababu kuu ni ngono...mmh
Pale tunaposahau kwa nini msitukumbushe jamani sisi ni binadamu kama nyie
umenichekesha mdogo wangu lol! Lakini usiogope.fl1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. Najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.
Mbadilike wanaume
Best hii siyo sababu kubwa ila tatizo letu wanaume tunapenda sana varieties, hata kama mkeo angekuridhisha bado utakuta wengine wanakwenda nje eti kisa ''ya wizi tamu'' jamani ni tamaa tu. Sasa huyu mwenzetu kakimbilia kwa barmaid? Jamani hivi kweli kwa wenzetu mliooa, kama mwenzio hakuridhishi, huwezi kumwambia kuwa ''bado'' hadi ukimbilie mtaani, na ukimwambia kwani atakuona mwenye tamaa au? Apumzike kwa amani!
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.
MBADILIKE WANAUME
maadili tanzania yameisha zama nyingi sana......mtu kwenda kugombania bar-maid wakati ana mke hapa kuna watu wanamsifu! au kusema kuwa ni kosa la mwanamke!
hivi wanaume lini mtabeba wajibu wenu?
huyo kijana aliruka stage.
mtu unapoamua kuwowa/kuwolewa YOU MUST HAVE GONE THROUGH A SERIES OF EXPERIMENTS AND SAMPLING and all that.then ukiona sio inshu unakamatia kitu unajifunga kwa mkataba.......
OTHERWISE....raha ya milele apewe kijana aliyeruka stage,na mwanga wa milele umuangazie.apumzike kwa amani kijana huyu..AMINA